Yanga na Simba, Kumbukeni hii ni knockout stage na nyie ni madaraja

Kama ulikuwa na mantiki ila umekosea Kwa kusema matokeo ya yanga ni sawa na ya Simba,yanga ana faida maana ana sare tasa nyumbani kwahy sare isiyo tasa ya ugenini Bado yanga atatoboa,Simba yeye kwa haraka haraka amesha kufa kiume.

Tutatoe Sare Pia Pretoria

Mashabiki hatupendi ukweli
 
There is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}.

Significance level of 95% ipo kwa Mamelody and Alhly . That is hard truth.

Mpira wa Yanga na SSC ni butu butu, haupo strategically, ni mpira wa mipasho na media snaa with poor investment..

Next year tutakuja kwenye sajili, tutaanza drama.

WAkati huo Ahly na Mamelody wanakuwa wapo kwenye searching engine na screening

Wanasema Pacome hayupo na Aucho….. so what ?

ila sisi wa bongo tuna excuses sana halafu ni kama hatupo matured, yaani uwepo wa pacome ndio tungeifunga Mamelody , ?

Mbona tunakuwa losers kama yule aliyesema SSC kafungwa 5 kwa sababu kibu aliumia….. mambo ya ajabu. Pacome ni investment ya mil 9 kwa mwezi, angekuwa ni key player asingecheza Yanga.
Kwa muda gani hatujawahi kuuza mchezaji kwenye klabu za maana.

Tulimuuza mikison kwenda Ahly , aliweza?

Tiukamuuza Mayele kwa klabu ya kawaida Misir, ameweza? Si amegeuka mzee wa mipasho na hii tabia mmemfundisha nyie.

Tunawekeza kwenye UCHAWI hadi wachezaji wanatunanga: na kwa taarifa yenu hizi timu zinakuja na vitu vyao kwa sababu wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy.

Mbona wakienda misiri hawabebi, au wakienda SA , Moroco, algeria ….Wameshaambiwa watanzania ni WACHAWI….

Tubadilike, tuwe scientifically , professional football inahitaji science na sio Uchawi.
Ukishasema " there's no way" hutakiwi kuanza kutabiri.
 
Margin of error ni
0.05 kwa sababu huo ni mpira
Maana ake uwezekano wa SIMBA kumknockout Ahly upo vivo hivyo kwa Yanga na Mamelod.
Siyo useme no way(completely impossible) alafu useme kuna marginal error!!!

Kwa maoni Yangu bado Simba ana uwezekano mdogo sana wakumtoa Ahly, ila Yanga chance ya kumtoa Sundowns ni Kubwa.
 
Sawa. Ila tunachojua ni kuwa tunahitaji kushambulia. Kufungwa ni matokeo.

Nimependa neno lako kushambulia. Changaloto hao washambuliaji ni kina nani.

Halafu ni aibu only SSC ndio kafungwa

Wenzie wote wame draw

Shame
 
Sawa. Ila tunachojua ni kuwa tunahitaji kushambulia. Kufungwa ni matokeo.

Nimependa Confidence yako kuwa chance ya Yanga kumtoa Mamelody ipo kubwa

all the best wananchi. Naaambiwa Pacome atakuwepo
 
tuliza mshono yanga tunapita na ubingwa tunabeba, tusipopita msimu huu na kikosi makini hivi tutapita lini.
 
Tukutane Pretoria. Naamini Yanga tunampiga Mamelody asubuhi na mapema
Wewe SIMBA ya Yanga hutayaweza ndg, kwanza jana watu wa SIMBA mlijua tunafungwa gori nyingi. Lakini master Gamond alifanya kazi nzuri sana.

Hivi ni kweli kwamba katika timu zote zilizopo Robo final CAFCL ni SIMBA pekee ndio timu ambayo siyo bingwa wa ligi ya ndani msimu jana? Namba hazidanganyi ni wabovu
 
wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy. Duh!🤔
 
There is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}.

Significance level of 95% ipo kwa Mamelody and Alhly . That is hard truth.

Mpira wa Yanga na SSC ni butu butu, haupo strategically, ni mpira wa mipasho na media snaa with poor investment..

Next year tutakuja kwenye sajili, tutaanza drama.

WAkati huo Ahly na Mamelody wanakuwa wapo kwenye searching engine na screening

Wanasema Pacome hayupo na Aucho….. so what ?

ila sisi wa bongo tuna excuses sana halafu ni kama hatupo matured, yaani uwepo wa pacome ndio tungeifunga Mamelody , ?

Mbona tunakuwa losers kama yule aliyesema SSC kafungwa 5 kwa sababu kibu aliumia….. mambo ya ajabu. Pacome ni investment ya mil 9 kwa mwezi, angekuwa ni key player asingecheza Yanga.
Kwa muda gani hatujawahi kuuza mchezaji kwenye klabu za maana.

Tulimuuza mikison kwenda Ahly , aliweza?

Tiukamuuza Mayele kwa klabu ya kawaida Misir, ameweza? Si amegeuka mzee wa mipasho na hii tabia mmemfundisha nyie.

Tunawekeza kwenye UCHAWI hadi wachezaji wanatunanga: na kwa taarifa yenu hizi timu zinakuja na vitu vyao kwa sababu wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy.

Mbona wakienda misiri hawabebi, au wakienda SA , Moroco, algeria ….Wameshaambiwa watanzania ni WACHAWI….

Tubadilike, tuwe scientifically , professional football inahitaji science na sio Uchawi.
Kwani wewe wa wapi,waarabu wamepinduliwa meza nyumbani karibu mara tano,hivi wewe unasemaje kwa mfano 🤣
 
Kama ulikuwa na mantiki ila umekosea Kwa kusema matokeo ya yanga ni sawa na ya Simba,yanga ana faida maana ana sare tasa nyumbani kwahy sare isiyo tasa ya ugenini Bado yanga atatoboa,Simba yeye kwa haraka haraka amesha kufa kiume.
Hii hawapendi kuisikia
 
Wewe SIMBA ya Yanga hutayaweza ndg, kwanza jana watu wa SIMBA mlijua tunafungwa gori nyingi. Lakini master Gamond alifanya kazi nzuri sana.

Hivi ni kweli kwamba katika timu zote zilizopo Robo final CAFCL ni SIMBA pekee ndio timu ambayo siyo bingwa wa ligi ya ndani msimu jana? Namba hazidanganyi ni wabovu

Pretoria tunaenda kushinda 3 bila
 
Back
Top Bottom