Yanga na Simba, Kumbukeni hii ni knockout stage na nyie ni madaraja

Kama ulikuwa na mantiki ila umekosea Kwa kusema matokeo ya yanga ni sawa na ya Simba,yanga ana faida maana ana sare tasa nyumbani kwahy sare isiyo tasa ya ugenini Bado yanga atatoboa,Simba yeye kwa haraka haraka amesha kufa kiume.

Tutatoe Sare Pia Pretoria

Mashabiki hatupendi ukweli
 
Ukishasema " there's no way" hutakiwi kuanza kutabiri.
 
Margin of error ni
0.05 kwa sababu huo ni mpira
Maana ake uwezekano wa SIMBA kumknockout Ahly upo vivo hivyo kwa Yanga na Mamelod.
Siyo useme no way(completely impossible) alafu useme kuna marginal error!!!

Kwa maoni Yangu bado Simba ana uwezekano mdogo sana wakumtoa Ahly, ila Yanga chance ya kumtoa Sundowns ni Kubwa.
 
Sawa. Ila tunachojua ni kuwa tunahitaji kushambulia. Kufungwa ni matokeo.

Nimependa neno lako kushambulia. Changaloto hao washambuliaji ni kina nani.

Halafu ni aibu only SSC ndio kafungwa

Wenzie wote wame draw

Shame
 
Sawa. Ila tunachojua ni kuwa tunahitaji kushambulia. Kufungwa ni matokeo.

Nimependa Confidence yako kuwa chance ya Yanga kumtoa Mamelody ipo kubwa

all the best wananchi. Naaambiwa Pacome atakuwepo
 
tuliza mshono yanga tunapita na ubingwa tunabeba, tusipopita msimu huu na kikosi makini hivi tutapita lini.
 
Tukutane Pretoria. Naamini Yanga tunampiga Mamelody asubuhi na mapema
Wewe SIMBA ya Yanga hutayaweza ndg, kwanza jana watu wa SIMBA mlijua tunafungwa gori nyingi. Lakini master Gamond alifanya kazi nzuri sana.

Hivi ni kweli kwamba katika timu zote zilizopo Robo final CAFCL ni SIMBA pekee ndio timu ambayo siyo bingwa wa ligi ya ndani msimu jana? Namba hazidanganyi ni wabovu
 
wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy. Duh!🤔
 
Kwani wewe wa wapi,waarabu wamepinduliwa meza nyumbani karibu mara tano,hivi wewe unasemaje kwa mfano 🤣
 
Kama ulikuwa na mantiki ila umekosea Kwa kusema matokeo ya yanga ni sawa na ya Simba,yanga ana faida maana ana sare tasa nyumbani kwahy sare isiyo tasa ya ugenini Bado yanga atatoboa,Simba yeye kwa haraka haraka amesha kufa kiume.
Hii hawapendi kuisikia
 

Pretoria tunaenda kushinda 3 bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…