Yanga na Simba pitieni hapa inawahusu

Alegria do povo

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
293
Reaction score
441
The late Albert Mangwea aliamini kuwa jina lake ndio surname ya mziki wa Rap. Sio kwamba alithibitishwa kuwa bora kuliko Suleiman Msindi "Afande Sele" ambaye aliitwa mfalme, hapana. Ni kwa sababu kipindi hicho Sele alikuwa kavuta shuka, amelala, anakoroma na kavimbiwa chakula "mziki" alichokula. Kama tabia ya Simba tu, na hakutaka kuwinda tena.

Ninaomba nifafanue, nikiacha hivyo watu mnasema sieleweki. Maana yangu ni hii.

Sioni sababu ya Yanga kushindwa kujivika Usurname wa soka la Tanzania kipindi hiki katika anga ya kimataifa kwa sababu yule Mfalme aliyemtoa Zamalek anaishi kwenye Eden ya uongo na bahati mbaya amekula na tunda kabisa. Maua ustawi wakati wa giza pekee.

Tanzania inataka kuvuna Zabibu Dar Es Salaam. Simba wao wanataka cha uvunguni wakiwa juu ya ngazi. Usishangae Yanga wakashindwa Safari ya Jangwani wakati tayari wapo na ngamia.

Soma makala zangu kwenye gazeti la mwananchi kila jumapili na jumatatu. Ukurasa unaitwa Gozi la ng'ombe.

Ahsanteni.

Nicasius Nicholaus Agwanda ( Coutinho Suso ).

#C&P
 
Mkuu umelikimbia jukwaa letu lile!
 
Mbona jana nimeona umelike post yangu. Hahahahaha aisee yule Bron utafikiri Lesnar kaingia WWE tena. Yaani MMA domination in soft wrestling

Ha ha ha, jukwaa limeshaanza kupoa, mpaka next season tena. Nina uhakika ushindani utakuwa mkali sana, maana mlisumbua sana nyie. Ila sasa hata mkitufunga regular, tukijitetea kwamba hii ni regular tu mtakuwa mnatuelewa.
 
Ingia kule bana... Hapa waachie wana Yanga na simba zao. Ingia kule nimeweka. Na Nakwambia Warriors na Cavs this coming season...ooohh subiri
 
Ingia kule bana... Hapa waachie wana Yanga na simba zao. Ingia kule nimeweka. Na Nakwambia Warriors na Cavs this coming season...ooohh subiri
teh teh teh teh umenichekesha sana na huu uzi wako... Mkuu umetoka LA mpaka Kariakoo.. Raimundo na yule Nyani wanasumbua sana kule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…