Alegria do povo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 293
- 441
The late Albert Mangwea aliamini kuwa jina lake ndio surname ya mziki wa Rap. Sio kwamba alithibitishwa kuwa bora kuliko Suleiman Msindi "Afande Sele" ambaye aliitwa mfalme, hapana. Ni kwa sababu kipindi hicho Sele alikuwa kavuta shuka, amelala, anakoroma na kavimbiwa chakula "mziki" alichokula. Kama tabia ya Simba tu, na hakutaka kuwinda tena.
Ninaomba nifafanue, nikiacha hivyo watu mnasema sieleweki. Maana yangu ni hii.
Sioni sababu ya Yanga kushindwa kujivika Usurname wa soka la Tanzania kipindi hiki katika anga ya kimataifa kwa sababu yule Mfalme aliyemtoa Zamalek anaishi kwenye Eden ya uongo na bahati mbaya amekula na tunda kabisa. Maua ustawi wakati wa giza pekee.
Tanzania inataka kuvuna Zabibu Dar Es Salaam. Simba wao wanataka cha uvunguni wakiwa juu ya ngazi. Usishangae Yanga wakashindwa Safari ya Jangwani wakati tayari wapo na ngamia.
Soma makala zangu kwenye gazeti la mwananchi kila jumapili na jumatatu. Ukurasa unaitwa Gozi la ng'ombe.
Ahsanteni.
Nicasius Nicholaus Agwanda ( Coutinho Suso ).
#C&P