Yanga na Simba SC hamtoboi hadi mnisikilize, full stop

Unakaataje goli la Azizi Ki? Clear goal.
 
Attachments

  • 5682167-4b4fb6a42c070f3306c0f595187ea8a.mp4
    3.1 MB
Ilikuwa mechi gani hiyo epl
 
Halikuwa goli Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri mpira na kanuni. Endeleza mahaba yako uzuri mifano ya mipira kama hiyo ipo mingi.

Andikeni barua CAF kukata rufaa ; huenda next week tukaingia nusu fainal
Acha kuishi kwa mifano, simamia ya kwako...
 
Investment maana yake investment! Go and search to know investment ya wapi

Sasa wewe umeshika bomba home na aware , what did you get ?

Sina muda wa kubishana na wewe
Imani yako itakuponya
Simba hakushikilia bomba home na alipata nini? Mpira ni mchezo wa mbinu na ufundi ili upate matokeo. Sio kutawala possession ndio kupata matokeo. Kwenye uzi wako sijaona uhusiano wa matokeo ya Yanga dhidi ya uwekezaji kwasababu Yanga walikuwa na kikosi chenye bajeti ya kawaida kabisa na bado wameimudu Mamelodi. Msaada wa Mamelodi ni waamuzi ila Yanga waliingia na mbinu saivi na walipata goli halali kabisa.

Embu iangalie hii video, halafu niambie nguvu za kulikataa goli la Yanga mnalitolea wapi?
Your browser is not able to display this video.
 
Weka VAR ya hilo goli la Yanga lililokataliwa ili tujiridhishe, badala ya hizo VAR zenu za Uingereza.

Halafu unaweza kutuambia ni kwa nini mwamuzi hakwenda kujiridhisha kwenye VAR ya uwanjani kama kweli mpira ulivuka mstari, au la?
 
Kwanini
Hamkutuliza akili kwenye penalty

Ki sehemu ya ushindi pia

Tafuta hilo footage uangalie

Hata ukiendaaa FIFA lile sio goli. Ili liwe goli mpira hautakiwi kuwa between the line , for as long as mpira umegusa the white line , hilo sio goli, at any point kama mpira umegusa line na kutoka nje , hilo sio goli

Nenda kokote, you will get the same answers

But kuwa kwako subjective ndio kunakupa denial
 
Goli ni halali kwa muktadha wa kanuni za akili za mashabiki, goli sio halali kwa muktadha wa kanuni za CAF na FIFA

kama utabisha kapigane na Jiwe
 
Goli ni halali kwa muktadha wa kanuni za akili za mashabiki, goli sio halali kwa muktadha wa kanuni za CAF na FIFA

kama utabisha kapigane na Jiwe
Haya sasa uje hapa ulijadili hapa kwa mujibu wa kanuni.
Kanuni inasemaje ili hilo lisiwe ni goli halali?
 
Haya sasa uje hapa ulijadili hapa kwa mujibu wa kanuni.
Kanuni inasemaje ili hilo lisiwe ni goli halali?

People believe what they wanna believe

Imani yako itakuponya

Mnae Captain, did he push for referee kucheck VAR, refa aliridhika kuwa lile sio goli na akafanya mawasiliano na VAR kuwa sio goli

Kama mlikuwa na doubt , Mwamnyeto was supposed to request refa aende kujiridhisha, what did he do ,

Fanyeni investment maana mwakani tunaweza kuishia makundi

Kw sisi kufika robo is also a lucky sio
Uwezo
 
Ulitaka tujadiliane sheria na kanuni sasa vipi unakuja na ngonjera za kumzonga mwamuzi na mambo ya imani? Kuwa smart kwenye mijadala, kama tunaamua kujadili kanuni basi uje na kanuni hapa ni vipi lile halikupaswa kuwa goli.
 
Kanuni nimepost juu

Jadili
 
Mimi sio mshabiki kama wewe

Mm ni mwanasoka. Na mpira wetu ni kubahatisha na mwakani hata makundi tunaweza tusitoboe
Fanyeni investment
Maisha ya mpira sio rahisi hivo
Shabiki sio mwanasoka??
Kutokua shabiki hakufanyi uwe sahih, sawa.

Investment imefanywa, mafanikio ndo hayo uyaonayo, timu inafika mpaka fainali ya shirikisho, timu zinafika robo fainali huku zikipambana na giants wa Africa.
Hapo bado hujaongelea jinsi timu zilivyoanda kwenye rank za kimataifa.
 
Khaa is that a reason kwamba halikuwa goal kwasababu Possession ni 23% Aisee sababu hazina mashiko mkuu, kufunguka ili iweje wakati unatakiwa kutumia mbinu
 
Khaa is that a reason kwamba halikuwa goal kwasababu Possession ni 23% Aisee sababu hazina mashiko mkuu, kufunguka ili iweje wakati unatakiwa kutumia mbinu

Mangi
 
Bila kumsahau Arajiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…