Yanga na Simba shirikianeni mpige hela

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Hebu viongozi wakutane mfanye haya:

1. Mshirikiane mjenge viwanja vyenu
2. Muanzishe vitega uchumu kuwaingizia kipato
3. Wanunulieni wachezaji wenu na benchi la ufundi magari na kuwajengea nyumba
4. Anzisheni kliniki za kuwatibu wachezaji wenu
5. Jengeni makanisa na misikiti kwa ajili ya familia za viongozi,wachezaji,makocha na majirani zenu
6. Mshirikiane mnunue ndege zenu kurahisidha usafiri
7. Ushindani wenu uwe uwanjani tu kwingine mbaki marafiki
 

1,2,6 &7 sawa sawa.

Hizi timu kinachowagharimu ni ushirikina tu.

Bila imani za kichawi wangeweza kuwa na uwanja 1 walau na ndege 1.
 
Naunga mkono hoja
 
SIMBA na YANGA ni timu za UMMA sio rahisi kujenga viwanja vyao.
Hizi timu hazimilikiwi na mtu binafsi, yaani kila mtu ana haki ya kuziongoza hizi timu, hivyo maamuzi yake ni ya UMMA zaidi.

MO hadi leo hajakabidhiwa timu, anaruka ruka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…