Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 407 Reaction score 178 Feb 18, 2012 #1 Ndugu zangu tuweke pembeni tofauti zetu. Mafanikio ya klabu yoyote ni sifa kwa taifa, japokuwa kwa upande fulani itakupain. Tuweke tofauti zetu kwenye vodacom ligi. Mungu zibariki simba na yanga. Mungu ibariki tanzania. Ushindi daima. TWAWEZA
Ndugu zangu tuweke pembeni tofauti zetu. Mafanikio ya klabu yoyote ni sifa kwa taifa, japokuwa kwa upande fulani itakupain. Tuweke tofauti zetu kwenye vodacom ligi. Mungu zibariki simba na yanga. Mungu ibariki tanzania. Ushindi daima. TWAWEZA