Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Ndugu zangu tuweke pembeni tofauti zetu. Mafanikio ya klabu yoyote ni sifa kwa taifa, japokuwa kwa upande fulani itakupain. Tuweke tofauti zetu kwenye vodacom ligi. Mungu zibariki simba na yanga. Mungu ibariki tanzania. Ushindi daima. TWAWEZA