Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU?huyu ; Dome Okochi ni nani mzee wangu? maana wajaluo wa tanzania ni wachache sana na kwa kipindi hicho sifikirii kama kulikuwa na wajaluo wa hapa tanganyika walioweza kutoka Mara kuja dar kupambana na waingereza
Mzee nilifurahi sana siku ulipoandika kuhusu Etohola Yao Kwasy JESHI na Pacome Zouzoua PEDOU.Mlikuwa mmekutana airport ulikosindikizwa na kijana wako.Hii ilikuwa baada ya KOLO kula kono la nyani. Nakushukuru sana.
View: https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU
Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake.
Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na kijani ardhi ya Tanganyika.
Mfano wa kadi ya TANU ulitokana na kadi yake ya Tanganyika Legion.
Baada ya kumaliza kuichora ile kadi, aliwaendea Tanganyika Standard Newspapers ili wamchapishie.
Kutoka mfukoni mwake mwenyewe alichapisha kadi 1000 za kwanza na akitumia fedha za TAGSA alichapisha kadi nyingine 2000.
Kadi nambari 1 ilitolewa na Ally Sykes kwa rais wa TANU, Julius Kambarage Nyerere na Ally aliweka sahihi yake kama afisa aliyeitoa.
Ilipendekezwa kwamba kadi chache za mwanzo lazima zipigwe mnada na fedha zitakazokusanywa zitiwe kwenye hazina ya chama.
Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz, Rupia na wengine walipanda dau kununua kadi hizo.
Ally alimshinda kaka yake Abdulwahid kwa bei akapata kadi ya TANU nambari 2; Abdulwahid alipewa kadi nambari 3; Dossa Aziz kadi nambari 4; Phombeah kadi nambari 5; Dome Okochi, mmoja wa wale wazalendo kutoka Kenya katika TANU alipata kadi nambari 6 na Rupia kadi nambari 7, Bibi Titi kadi nambari 16; Iddi Faiz Mafungo kadi nambari 24; Iddi Tosiri kadi nambari 25.
Hizi kadi za TANU kwa kuwa zilikuwa za rangi ya kijani washabiki wa Yanga wakajinasibisha na TANU wakidai TANU ni Yanga na ni chama chao.
Bahati mbaya Sunderland wao wakivaa rangi nyekundu na rangi nyekundu ni rangi ya bendera ya Uingereza.
Club ya mpira iliyopigania uhuru wa Tanganyika ni Young New Strong Football Club kutoka Tabora.
Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini.
Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao ndiyo walikuwa waasisi wa African Association mwaka wa 1945, mashuhuri miongoni mwao walikuwa Fundi Mhindi na Maulidi Kivuruga.
Mwenyekiti wa kilabu hiyo alikuwa Juma Mrisho, mcheza kandanda mashuhuri kwa siku zile.
Shaaban Mohamed Silabu na Bilali Rehani Waikela walikuwa Katibu na Naibu Katibu.
Mzee Waikela ndiye aliyenisomesha historia hii.
Bali...Mzee nilifurahi sana siku ulipoandika kuhusu Etohola Yao Kwasy JESHI na Pacome Zouzoua PEDOU.Mlikuwa mmekutana airport ulikosindikizwa na kijana wako.Hii ilikuwa baada ya KOLO kula kono la nyani. Nakushukuru sana.
ooh kumbe akisafiri kijana wako.Bali...
Ahsante.
Mimi ndiye nikisindikiza.
Assalamu alaykum sheikh!Kwa maana hiyo ni kwamba Yanga hii ya leo ilitokana na hiyo Young New Strong Football Club ya Tabora?.
View: https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU
Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake.
Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na kijani ardhi ya Tanganyika.
Mfano wa kadi ya TANU ulitokana na kadi yake ya Tanganyika Legion.
Baada ya kumaliza kuichora ile kadi, aliwaendea Tanganyika Standard Newspapers ili wamchapishie.
Kutoka mfukoni mwake mwenyewe alichapisha kadi 1000 za kwanza na akitumia fedha za TAGSA alichapisha kadi nyingine 2000.
Kadi nambari 1 ilitolewa na Ally Sykes kwa rais wa TANU, Julius Kambarage Nyerere na Ally aliweka sahihi yake kama afisa aliyeitoa.
Ilipendekezwa kwamba kadi chache za mwanzo lazima zipigwe mnada na fedha zitakazokusanywa zitiwe kwenye hazina ya chama.
Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz, Rupia na wengine walipanda dau kununua kadi hizo.
Ally alimshinda kaka yake Abdulwahid kwa bei akapata kadi ya TANU nambari 2; Abdulwahid alipewa kadi nambari 3; Dossa Aziz kadi nambari 4; Phombeah kadi nambari 5; Dome Okochi, mmoja wa wale wazalendo kutoka Kenya katika TANU alipata kadi nambari 6 na Rupia kadi nambari 7, Bibi Titi kadi nambari 16; Iddi Faiz Mafungo kadi nambari 24; Iddi Tosiri kadi nambari 25.
Hizi kadi za TANU kwa kuwa zilikuwa za rangi ya kijani washabiki wa Yanga wakajinasibisha na TANU wakidai TANU ni Yanga na ni chama chao.
Bahati mbaya Sunderland wao wakivaa rangi nyekundu na rangi nyekundu ni rangi ya bendera ya Uingereza.
Club ya mpira iliyopigania uhuru wa Tanganyika ni Young New Strong Football Club kutoka Tabora.
Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini.
Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao ndiyo walikuwa waasisi wa African Association mwaka wa 1945, mashuhuri miongoni mwao walikuwa Fundi Mhindi na Maulidi Kivuruga.
Mwenyekiti wa kilabu hiyo alikuwa Juma Mrisho, mcheza kandanda mashuhuri kwa siku zile.
Shaaban Mohamed Silabu na Bilali Rehani Waikela walikuwa Katibu na Naibu Katibu.
Mzee Waikela ndiye aliyenisomesha historia hii.
King...Assalamu alaykum sheikh!Kwa maana hiyo ni kwamba Yanga hii ya leo ilitokana na hiyo Young New Strong Football Club ya Tabora?.
Tatizo lao shule ilikuwa ndogo.Wakina sykes wamekula mema sana ya nchi hii
Ova
This has something to do with the fact that wewe ni kolo. Ubaya ubwela
View: https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU
Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake.
Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na kijani ardhi ya Tanganyika.
Mfano wa kadi ya TANU ulitokana na kadi yake ya Tanganyika Legion.
Baada ya kumaliza kuichora ile kadi, aliwaendea Tanganyika Standard Newspapers ili wamchapishie.
Kutoka mfukoni mwake mwenyewe alichapisha kadi 1000 za kwanza na akitumia fedha za TAGSA alichapisha kadi nyingine 2000.
Kadi nambari 1 ilitolewa na Ally Sykes kwa rais wa TANU, Julius Kambarage Nyerere na Ally aliweka sahihi yake kama afisa aliyeitoa.
Ilipendekezwa kwamba kadi chache za mwanzo lazima zipigwe mnada na fedha zitakazokusanywa zitiwe kwenye hazina ya chama.
Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz, Rupia na wengine walipanda dau kununua kadi hizo.
Ally alimshinda kaka yake Abdulwahid kwa bei akapata kadi ya TANU nambari 2; Abdulwahid alipewa kadi nambari 3; Dossa Aziz kadi nambari 4; Phombeah kadi nambari 5; Dome Okochi, mmoja wa wale wazalendo kutoka Kenya katika TANU alipata kadi nambari 6 na Rupia kadi nambari 7, Bibi Titi kadi nambari 16; Iddi Faiz Mafungo kadi nambari 24; Iddi Tosiri kadi nambari 25.
Hizi kadi za TANU kwa kuwa zilikuwa za rangi ya kijani washabiki wa Yanga wakajinasibisha na TANU wakidai TANU ni Yanga na ni chama chao.
Bahati mbaya Sunderland wao wakivaa rangi nyekundu na rangi nyekundu ni rangi ya bendera ya Uingereza.
Club ya mpira iliyopigania uhuru wa Tanganyika ni Young New Strong Football Club kutoka Tabora.
Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini.
Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao ndiyo walikuwa waasisi wa African Association mwaka wa 1945, mashuhuri miongoni mwao walikuwa Fundi Mhindi na Maulidi Kivuruga.
Mwenyekiti wa kilabu hiyo alikuwa Juma Mrisho, mcheza kandanda mashuhuri kwa siku zile.
Shaaban Mohamed Silabu na Bilali Rehani Waikela walikuwa Katibu na Naibu Katibu.
Mzee Waikela ndiye aliyenisomesha historia hii.
Mzee tumsifu Yesu Kristo hakuna picha uliyowekaDOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU?
Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6.
Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza kupata kadi hiyo no. 6.
Mimi nikimfahamu katika utoto wangu kwa jina la Dickson alipokuwa akija kwetu na kuingiliana sana na wazee wangu.
Pamoja na yeye walikuwa Wakenya wawili ambao wote niliwafahamu kwa majina yao ya kwanza tu, Maxwell na Martin.
Haukupita muda mrefu toka TANU iundwe Dome Budohi alikamatwa pamoja na Wakikuyu wengi waliokuwa Tanganyika kwa tuhuma za kuhusishwa na Mau Mau.
Wengi wa hawa Wakikuyu waliotiwa mbaroni walikuwa wafanya biashara Mwanza na sehemu nyingine ya Kanda ya Ziwa.
Martin alirudi Kenya lakini Maxwell alibaki Tanzania na mimi nilikuwa nikikutananae hadi katika miaka ya 1980.
Mara ya mwisho tulionana Mtaa wa Mafia na tulipiga picha pamoja.
Picha yangu na Mzee Maxwell hiyo hapo chini.
Ilikuwa Maxwell ndiye aliyefanya juhudi ya kunikutanisha na Dome Budohi Nairobi mwaka wa 1972 alipoona nataka sana kujua yale yaliyokuwapo Mtaa wa Kipata katika miaka ile ya kupigania uhuru.
Maxwell akiniambia kuwa Dome Budohi alikuwa mstari wa mbele katika TANU hadi mwaka wa 1955 aliposalitiwa na Martin kupitia barua iliyotoka Kenya kuja kwa Budohi barua ambayo ilimuhusisha na Mau Mau.
Budohi alikuwa akifanya kazi katika duka la muziki la Assanand lililokuwa Ring Street (sasa Mtaa wa Jamhuri) na alikuwa mmoja wa vijana wanamuziki akipiga drums katika Skylarks Band iliyokuwa ikiongozwa na Ally Sykes.
Martin alikuwa akipiga trumpet katika bendi hiyo iliyokuwa maarufu kwa vijana katika miaka ile ya 1950.
Budohi pia alikuwa muigizaji wa senema na aliigiza senema moja, "Mgeni Mwema," pamoja na Rashid Mfaume Kawawa.
Juu ya haya yote hawa vijana pamoja ya kuwa walikuwa hawapunguki katika kumbi mbili maarufu za Dar es Salaam ya wakati ule, Alexander na Arnautoglo walikuwa wapigania uhuru.
Nakumbuka kama.jana vile mazungumzo yangu na Dome Budohi nyumbani kwake Ruiru na kisha Ngei Estate alipohamia baadae.
Aliniambia kuwa alikitahidi sana kutafuta kuonana na Julius Nyerere wakumbushane enzi zao kila alipokuwa akienda Nairobi lakini hakufanikiwa.
Dome Budohi hakurudi tena Dar es Salaam hadi alipofariki.
Nimeshindwa kabisa kujua kwa uhakika kama Martin alikuwa kachero katika Special Branch au vipi.
Lakini itoshe tu kuwa katika kipindi hiki tunachokizungumza ilikuja kunidhihirikia baadae sana baada ya uhuru kuwa Ali Mwinyi Tambwe Katibu wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na mtu karibu sana na Abdul Sykes Secretary wa TAA alikuwa kachero wa Special Branch pamoja na Alexander Tobias.
Alexander Tobias alikuwa ameajiriwa na TAA mwaka wa 1950 kama Executive Secretary.
Picha: Kambi ya Mau Mau Kenya.
Itaendelea...
Sinza,Tatizo lao shule ilikuwa ndogo.
Mzee tumsifu Yesu Kristo hakuna picha uliyoweka
Walikuwa njema,kizazi,watoto zao walibweteka wakajisahau kama unavyoona familia za kina rupia naoTatizo lao shule ilikuwa ndogo.
Wa Ukae,Hakika najifunza mambo mengi ya Historia yetu kupitia kwako Mzee wangu namuomba Mwenyezi Mungu akuzidishie badala na Umri mrefu ili uendelee kutupa Elimu sisi vijana wako
Mrangi,Walikuwa njema,kizazi,watoto zao walibweteka wakajisahau kama unavyoona familia za kina rupia nao
Ova
Haya matimu kumbe utapeli yalianza zamani sana