Yanga na simba tusipeane sifa za kijinga

Yanga na simba tusipeane sifa za kijinga

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Tusijenge tabia ya kupeana sifa za kij8nga ambazo hazina msaada wowote kukuza timu.kusifia viongozi mchana kutwa usiku kucha.tujenge timu ki mbinu,kiufundi na kwa stamina,tujenge viwanja,tuwekeze kwa vijana na tulipane vizuri,tuache wizi,uchawi na umalaya
 
Ukifanikiwa kutenganisha Kolowizards na uchawi basi 1 kwa 1 TZ itakuwa mbali sana kwa soka la kisasa kiviwango.

Nimekaa pale [emoji117][emoji144][emoji87]
 
Back
Top Bottom