fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Tusijenge tabia ya kupeana sifa za kij8nga ambazo hazina msaada wowote kukuza timu.kusifia viongozi mchana kutwa usiku kucha.tujenge timu ki mbinu,kiufundi na kwa stamina,tujenge viwanja,tuwekeze kwa vijana na tulipane vizuri,tuache wizi,uchawi na umalaya