School fiz
Member
- Mar 24, 2018
- 42
- 36
We na we hebu acha uongo na uache kujitungia maswali. Sasa swali ni kwanini kuna upinzani wewe unaleta stori za wazungu mara Barcelona mara Football Club na komedi kibao.Muzungu aliacha hivyo, kila kitu unachokiona hapa alianzisha Muzungu, sisi hakuna kitu tunaweza, hata tu maana ya football club hatuielewi ndo maana unaona mtu anaishi Bongo anakwambia yeye mtu wa FC Barcelona au anaishi Kigoma anakwambia yeye mwanachama wa Simba FC ya Dar wakati Kigoma kwao kuna timu!
Unafahamu kitu kinaitwa derby? mfano Real madrid vs Atletico madridMuzungu aliacha hivyo, kila kitu unachokiona hapa alianzisha Muzungu, sisi hakuna kitu tunaweza, hata tu maana ya football club hatuielewi ndo maana unaona mtu anaishi Bongo anakwambia yeye mtu wa FC Barcelona au anaishi Kigoma anakwambia yeye mwanachama wa Simba FC ya Dar wakati Kigoma kwao kuna timu!
Mbona ndo zile zile sababu zenyewe za kuipenda CCM na Chadema.We na we hebu acha uongo na uache kujitungia maswali. Sasa swali ni kwanini kuna upinzani wewe unaleta stori za wazungu mara Barcelona mara Football Club na komedi kibao.
Timu za mpira kua pinzani huchagizwa na yafuatayo.
-Kufuatana muda kwa hizo timu kuanzishwa kwake mfano Simba na Yanga.
-Kutokea eneo moja mfano Arsenal na Totenham
-Mmoja kua kinara kwa ubingwa mfano Arsenal na Manchester United na Chelsea.
Hizo ni sababu kuu na ninadhani Simba na Yanga zinafit kote. Sasa wewe Barbra unaleta stori za mzungu daah acha kua mbaguzi aisee.
Yaani ww unajifanya unawachukia rangi nyeupe, wakati iyo ITEL unayotumia wametengeneza waoMuzungu aliacha hivyo, kila kitu unachokiona hapa alianzisha Muzungu, sisi hakuna kitu tunaweza, hata tu maana ya football club hatuielewi ndo maana unaona mtu anaishi Bongo anakwambia yeye mtu wa FC Barcelona au anaishi Kigoma anakwambia yeye mwanachama wa Simba FC ya Dar wakati Kigoma kwao kuna timu!
Unafahamu kitu kinaitwa derby? mfano Real madrid vs Atletico madrid
Arsenal vs Chelsea
Everton vs Liverpool
Hizo ni mechi ambazo kila timu huwa inajaribu kuonesha kwamba wao ndio magwiji wa sehemu husika na mara nyingi zinakua mechi ngumu sana.
Kikubwa kilichochangia ni huo "uderby" na kwa wakati huo ndio timu zilizokua zinafanya vema hivo kuchochea huu ushindani.
Mpenzi wa Everton anaishi mahali ambapo hiyo timu inatoka au mpenzi wa sijui Manchester anaishi Manchester pia, huwezi kukuta Muzungu anaishi mji au nchi nyingine akawa mpenzi wa timu ktk sehemu nyingine, hiyo ndo maana ya football club, ni club!
Hivyo kwa mfano kama wewe unaishi Mwanza haupaswi kuwa Mwanachama wa Yanga/Simba au sijui Manchester, hilo lipo Afrika tu kwa maana hatuelewi maana ya football club!
Hakuna Simba FC kuna Simba SCMuzungu aliacha hivyo, kila kitu unachokiona hapa alianzisha Muzungu, sisi hakuna kitu tunaweza, hata tu maana ya football club hatuielewi ndo maana unaona mtu anaishi Bongo anakwambia yeye mtu wa FC Barcelona au anaishi Kigoma anakwambia yeye mwanachama wa Simba FC ya Dar wakati Kigoma kwao kuna timu!
Kwa hiyo pale Manchester wapenzi wa mpira wamegawanyika vipi katika kusapoti man city na man u? Manake mji mmoja unaweza kuwa na timu zaidi ya mbili, pale Madrid kuna Atletico na Real.
Umewahi kusikia fanbase ya timu katika nchi nyingine? Mfano arsenal wana fanbase yao Marekani, ndio maana hata kipindi cha maandalizi ya msimu wanafanya tour ili kuongeza fanbase yao.
Sidhani kama soka ni hobby yako, we endelea na CCM vs CDM mkuu, it suits you better.