Yanga na Simba Waungane Kupeana Mbinu za Kimchezo Ili waweze Kuvuka Hatuna Hii Ya Awali.

Rekebisha hapo useme"Yanga wawafate Simba kuwaomba mbinu",asiye na mbinu ndo ainuke akaombe msaada.
 
Waziri hawezi kupiga danadana hata mbili,hajui hata pogba ni nani,sio mtu wa mpira,yuko pale kikazi tu namfahamu vizuri.
 
Anza na manara kwanza maana nasikia yule ndo mwenye kauli pale yanga kwa sasa hata kwenye job application ya afisa habari wa yanga aliwakataa ali kamwe na prisca kishamba akikubali manara tu basi show imeisha maana yule ndo mke mkubwa wa engineer hersi.
 
Makolo watatoa mbinu gani zaidi ya ile ya kuwasha moto uwanjani peupe kabisa
Na ile ya kwenu ya kuruka ukuta mnapocheza na sumba taifa pamoja na kumruhusu mganga aende vyumba vya wachezaji kila half time mbona husemi maana mkikutana na yule mganga wenu half Time ndo mnakuja mnashinda.
 
Hata wanaelewa basi wanajua Caf champions league ni kama mtibwa vile walivyojilegeza wakati wanacheza nao siku ile.
 
Uliona wapiiii
 
Waziri akahangaike na Taifa Stars huku..Yanga si timu kubwaa..haya sasa Mwana kulitafuta..
 
Na ile ya kwenu ya kuruka ukuta mnapocheza na sumba taifa pamoja na kumruhusu mganga aende vyumba vya wachezaji kila half time mbona husemi maana mkikutana na yule mganga wenu half Time ndo mnakuja mnashinda.
 

Attachments

  • images.jpeg
    27.3 KB · Views: 1
Ilipo toka fixture tu tayari nili iona Yanga group stage. Huitaji utabiri ni kufuatilia timu anazo kwenda kukutana nazo na ubora walionao Kwa Sasa.
Mlipangwa na vibonde. Gsm kahonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…