Yanga na Simba Waungane Kupeana Mbinu za Kimchezo Ili waweze Kuvuka Hatuna Hii Ya Awali.

Yanga na Simba Waungane Kupeana Mbinu za Kimchezo Ili waweze Kuvuka Hatuna Hii Ya Awali.

Rekebisha hapo useme"Yanga wawafate Simba kuwaomba mbinu",asiye na mbinu ndo ainuke akaombe msaada.
 
Wakuu issue Sio Yanga Kuona Magumu.
.
Jambo la Msingi ni Waziri wa Michezo kukutana na Hivi vilabu
.
Kwa Màana Waziri anaweza kukaa na viongozi wa Simba na Yanga kujaribu kujenga tabia ya Tanzania kwanza
.
Wakicheza na wageni washirikiane vilivyo ili kuleta ushindi nyumbani ila tukirudi hapa nyumbani tuendelee na derby yetu.
.
Wakati Niko Tanga, Jambo hili lilitusaidia A.Sports ya Tanga kupanda daraja baada ya miaka mingi sana nje ya Primier Ligue.
.
Tulikuja na slogan ya Tanga Kwanza
.
Tulivuna uzoefu mkubwa kutoka Coastal Union Lakini mpaka kesho tunabaki kuwa Derby kubwa baada ya Simba na Yanga
Waziri hawezi kupiga danadana hata mbili,hajui hata pogba ni nani,sio mtu wa mpira,yuko pale kikazi tu namfahamu vizuri.
 
Wakuu issue Sio Yanga Kuona Magumu.
.
Jambo la Msingi ni Waziri wa Michezo kukutana na Hivi vilabu
.
Kwa Màana Waziri anaweza kukaa na viongozi wa Simba na Yanga kujaribu kujenga tabia ya Tanzania kwanza
.
Wakicheza na wageni washirikiane vilivyo ili kuleta ushindi nyumbani ila tukirudi hapa nyumbani tuendelee na derby yetu.
.
Wakati Niko Tanga, Jambo hili lilitusaidia A.Sports ya Tanga kupanda daraja baada ya miaka mingi sana nje ya Primier Ligue.
.
Tulikuja na slogan ya Tanga Kwanza
.
Tulivuna uzoefu mkubwa kutoka Coastal Union Lakini mpaka kesho tunabaki kuwa Derby kubwa baada ya Simba na Yanga
Anza na manara kwanza maana nasikia yule ndo mwenye kauli pale yanga kwa sasa hata kwenye job application ya afisa habari wa yanga aliwakataa ali kamwe na prisca kishamba akikubali manara tu basi show imeisha maana yule ndo mke mkubwa wa engineer hersi.
 
Makolo watatoa mbinu gani zaidi ya ile ya kuwasha moto uwanjani peupe kabisa
Na ile ya kwenu ya kuruka ukuta mnapocheza na sumba taifa pamoja na kumruhusu mganga aende vyumba vya wachezaji kila half time mbona husemi maana mkikutana na yule mganga wenu half Time ndo mnakuja mnashinda.
 
Wakuu Ligi ni tofauti sana na Mashindano makubwa ya kimataifa.
.
Ndio maana mchezo wa kwanza walifungwa na St. George.
.
Hivyo wananchi wanapaswa kuwafunga nyingi tu nyumbani ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Yanga inapita bila shida.
Hata wanaelewa basi wanajua Caf champions league ni kama mtibwa vile walivyojilegeza wakati wanacheza nao siku ile.
 
Wakuu nina Wazo Fulani la Kumfikishia Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe. Mchengerwa ingawa Sina access ya kumfikishia.

Wazo na ushauri wangu ni kwamba Mm nadhani ni wakati sasa Yanga na Simba kushirikiana Kwenye Hii Hatua ili Waweze Kuvukà kwa pamoja.

Simba wawape mbinu Yanga kwa Jinsi wao walivyofika Mpaka hatua ya Robo Kwa Wakati Ule.

Pia serikali ikae na Hivi vilabu vi2 ili wawape sapoti na Nguvu Pia na Kujua changamoto ya Hizi team Ili serikali iweze kutoa Msaada.

Shida sina access ya kufikisha hili wazo Langu Kwa Waziri Mchengerwa.

Hivi vilabu vinaliwakilisha Taifa La Tanzania Kwa Hyo Vikishirikiana Kwa Pamoja bila kujiona nani ni mkubwa kwa mwenzake na kila mtu apambane kivyake Team Hizi hazitafika hata group stage.

Angalia km Waarabu wana fitina sana kuhusu team zao

Ndio maana Hata Ratiba za Michuano ya Afrika huwa inazibeba sana Timu za Uarabuni kwa Kuzikutanisha na Timu za Dhaifu ktk hatua za Awali.

Viongozi wa vilabu, serikali na Tff Zao(waarabu) Huwa wanatengeneza mazingira ya timu za kaskazini (waarabu) kufika mbali.

Zinakwepana ili zisitoane mapema. Utakuta mafarao wamepewa "Wasotho" au Shelisheli na timu ni vigumu kupewa washekisheli au komoro.

Karibuni Kwa mawazo Yenu Ili kujaziajazia nyama Ili wazo Langu Wakuu [emoji120][emoji120]
Uliona wapiiii
 
Wakuu issue Sio Yanga Kuona Magumu.
.
Jambo la Msingi ni Waziri wa Michezo kukutana na Hivi vilabu
.
Kwa Màana Waziri anaweza kukaa na viongozi wa Simba na Yanga kujaribu kujenga tabia ya Tanzania kwanza
.
Wakicheza na wageni washirikiane vilivyo ili kuleta ushindi nyumbani ila tukirudi hapa nyumbani tuendelee na derby yetu.
.
Wakati Niko Tanga, Jambo hili lilitusaidia A.Sports ya Tanga kupanda daraja baada ya miaka mingi sana nje ya Primier Ligue.
.
Tulikuja na slogan ya Tanga Kwanza
.
Tulivuna uzoefu mkubwa kutoka Coastal Union Lakini mpaka kesho tunabaki kuwa Derby kubwa baada ya Simba na Yanga
Waziri akahangaike na Taifa Stars huku..Yanga si timu kubwaa..haya sasa Mwana kulitafuta..
 
Na ile ya kwenu ya kuruka ukuta mnapocheza na sumba taifa pamoja na kumruhusu mganga aende vyumba vya wachezaji kila half time mbona husemi maana mkikutana na yule mganga wenu half Time ndo mnakuja mnashinda.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    27.3 KB · Views: 1
Ilipo toka fixture tu tayari nili iona Yanga group stage. Huitaji utabiri ni kufuatilia timu anazo kwenda kukutana nazo na ubora walionao Kwa Sasa.
Mlipangwa na vibonde. Gsm kahonga
 
Back
Top Bottom