Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wako smart bhana,kuanzia apperance mpaka kichwani.
Huwa nakerwa sana na tabia hii!Kwanza hii tabia ya kwenda bungeni sijui nini ni hapa bongo sijui Manchester city kama watafanya hivo
Ila huyo manzi KAKOMAA nahisi had Kijiko
Hahahaaaaa. Lol.Nipe uhovyo wa Yanga Kuchukua kombe maranyingi ndo iwe hivyo?
Hahahaa. Wameangalia nguo tu basi wakamaliza. Khaaaa.Mmoja alienda na kombe mwingine kaenda mikono mitupu. Ndio tofauti ya sisi na wao
Hahaaaa simba inang'ara wapi jamaniyanga ni timu ya hovyo kabisa,hata kama uwepo wao ndio unaifanya simba ing`are lakini sijawahi kuikubali kabisa,hasa rangi za jezi zao...
Hahahaaa. Akikujib nitag!Hahaaaa simba inang'ara wapi jamani
Yaani anajitoa ufahamu kweliHahahaaa. Akikujib nitag!
Ujue bana Ushabiki ni kitu kibaya sana Mkuu yaani hata aliyevaa maronya ronya anaweza akasifiwa.