Yanga na Simba zinapokuwa Bungeni

Yanga na Simba zinapokuwa Bungeni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
bungee.jpeg

PIC%2B02.jpg

Compare and Contrast
 
yanga ni timu ya hovyo kabisa,hata kama uwepo wao ndio unaifanya simba ing`are lakini sijawahi kuikubali kabisa,hasa rangi za jezi zao...
 
Kwanza hii tabia ya kwenda bungeni sijui nini ni hapa bongo sijui Manchester city kama watafanya hivo
Huwa nakerwa sana na tabia hii!
Ingekuwa inapendeza sana kama, timu ipate ushindi kutoka timu ya nje ya Tanzania, hapo sawa!
Kuanzia Spika (toka 6 mpaka Ndugai) Mawaziri, wabunge, wote hovyo tu, kwa kuonyesha ushabiki wao, kiasi kwamba timu zetu zinajiona zimeshafika!
Hata thamani ya "BUNGENI" inateremka!
 
yanga ni timu ya hovyo kabisa,hata kama uwepo wao ndio unaifanya simba ing`are lakini sijawahi kuikubali kabisa,hasa rangi za jezi zao...
Hahaaaa simba inang'ara wapi jamani
 
Back
Top Bottom