Hii fainali itakuwa na nyumbani na ugenini?? Sijawahi kuona.Fainali ya kikubwa sana na hamtaamini Yanga anamfunga Usm Alger.
Jamaa wanashambulia sana lakini hawana ukuta wa kutisha kwa speed ya Musonda na Mayele pale mbele Yanga atavuna goli mbili au tatu nyumbani na hata ugenini haitakosa goli.
Yanga Ina Mayele tuu hao wengine ni nyumbu wasio na maana..USM Alger hawana mpira wa kuwafunga yanga
Nimecheki game Yao Leo na asec mimosa
Nafikiri asec mimosa wangekuwa Na washambuluaji wenye speed kama fiston mayele , kisinda Na wengine basi Hawa waarabu wangelala leo
Na wakicheza mpira ule Na yanga basi watalala nje ndani
Washambuluaji wa yanga sio wa wakuachiwa mabeki watatu au wawili nyuma wengine wanaenda kushambulia watakuwa wamejimaliza
Siri ya kucheza Na yanga ni kupaki tu
Al Hilal walituweza kwao kwasababu walijaza mabeki wengi nyuma
Zilikuwepo kablaHii fainali itakuwa na nyumbani na ugenini?? Sijawahi kuona.
Ndio hii ona sasa mkuu.Hii fainali itakuwa na nyumbani na ugenini?? Sijawahi kuona.
Kwanza USM Algers hakuna Timu hapo,hata Simba ilijipigia hao mwaka Jana kwenye shirikisho..Fainali ya kikubwa sana na hamtaamini Yanga anamfunga Usm Alger.
Jamaa wanashambulia sana lakini hawana ukuta wa kutisha kwa speed ya Musonda na Mayele pale mbele Yanga atavuna goli mbili au tatu nyumbani na hata ugenini haitakosa goli.
Duuhh.. hatari kweli..Ndio hii ona sasa mkuu.
Okay.. wacha tuone mambo hayaZilikuwepo kabla
Mkuu wewe mambo ya mpira huyajui!!Kwanza USM Algers hakuna Timu hapo,hata Simba ilijipigia hao mwaka Jana kwenye shirikisho..
Uzuri nao ndio mara ya kwanza wanaingia fainali kama Yanga tuu.
We Jamaa bwana,nimesema Yanga Iko vizuri kuwashindwa hao ila ukweli ni kwamba Yanga ni Mayele bila Mayele hakuna Timu hapo.Mkuu wewe mambo ya mpira huyajui!!
Wewe umefit kwenye kumsifia mama tu!!
Hivi unauhakika hiyo USM Algers ilicheza na madunduka msimu uliopita!!?
Umeandika ujinga mtupu.Yanga inabebwa na mayele tu ,siku akiamka vibaya shughuli inaishia hapo.
Yanga isije ikafanya kosa la kumuuza huyo mkongo, wakijichanganya tu huo ndio utakua mwisho wao.
Najua Kuna vyura watabisha kuwa hata bila mayele yanga anaweza kushine ,ukweli ni kwamba mayele ndiye booster ya timu nzima ,musonda na nzize ni wakawaida mno ila wanang'aa kupitia mwamba.
Mtasema yupo Aziz k ,ila katika wachezaj wabovu basi ni huyo Domo ,yes aliamua matokeo kule uarabun lakin km unajua mpira ni kwamba hii ilitokea sabab ya uwepo wa mayele maana wale warabu walikweka jicho Kwa mayele ndipo Aziz k akawaadhibu.
Mayele ndie injin ya timu nzima .
GSM ampandishie dau nono awe analipwa kumzid huyo Domo Ili asiondoke hapo jangwan .
Maana timu nyingine zikiweka salary kuanzia 50m na kuendelea mayele lazima asepe hapo ndipo uhalisia wa yanga utaonekana wazwaz, kama ilivyotokea kwa Simba baada ya kumuuza konde boy
Inaelekea hufatilii soka la afrika, mbona ndio maisha yetu siku zote, walibadilisha miaka miwili wakaweka fainali moja yakawashindaHii fainali itakuwa na nyumbani na ugenini?? Sijawahi kuona.