Yanga Na USM Alger

Yanga Na USM Alger

Inaelekea hufatilii soka la afrika, mbona ndio maisha yetu siku zote, walibadilisha miaka miwili wakaweka fainali moja yakawashinda
Ni ngumu kufuatilia mifumo isiyokuwa consistent.. mwakani wanaweza kubadilisha gia angani.
 
Ni sahihi hamna timu oale hata mimi nawapa Yanga ubingwa. Jamaa ni wa kawaida sana sawa na Namungo tu sema wao ni waarabu. Nimeangalia mechi zao zote mbili zidi ya Asec, wa kawaida sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni sahihi hamna timu oale hata mimi nawapa Yanga ubingwa. Jamaa ni wa kawaida sana sawa na Namungo tu sema wao ni waarabu. Nimeangalia mechi zao zote mbili zidi ya Asec, wa kawaida sana.
unasemaaje wewe uto?
 
Umeandika ujinga mtupu.
Kwa hiyo mayele akifa leo yanga itakufa?
Walikuwepo kina nonda waliondoka na mambo yakaenda kawaida tu. Kuna mastraika wengi sana afria issue ni pesa na scouting tu. Wewe mpaka leo sub zako anaingia bocco na kyombo unawabeza kina maize na musonda? Wewe kwa muda wa miaka 10 una mchezaji yyte uliyemtengeneza toka ndani??
Haya njoo hapa we chura ujibu tena.
Tukiwambia mnakua wachungu kama shubiri.
Hata goli la yanga la Jana ni limetoka Kwa yule yule injin ya timu.
Yanga ni timu ya kawaida sana inabebwa na kaupepo fulan Kwa huu msimu na wao wameamua kutembelea hako kaupepo
 
Back
Top Bottom