Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Naiscreenshot hii komentiMkileta kombe najitolea kuwapikia maandazi Utopolo wote humu JF...
Kama kuna jamaa mshambulia wa kulia sijui Kisinda..ni Kisinda kweli kweli..yaani bonge la butu butu..kakosa shabaha sana.Yanga Ina Mayele tuu hao wengine ni nyumbu wasio na maana..
Magoli yote 2 ni juhudi zake binafsi
Ni ngumu kufuatilia mifumo isiyokuwa consistent.. mwakani wanaweza kubadilisha gia angani.Inaelekea hufatilii soka la afrika, mbona ndio maisha yetu siku zote, walibadilisha miaka miwili wakaweka fainali moja yakawashinda
Siku zote ilikuwa ni fainali mbili wakajaribu kuweka moja ikawashinda wakarudisha mbili na wamesema hawaendi tena fainali moja hadi 2060Ni ngumu kufuatilia mifumo isiyokuwa consistent.. mwakani wanaweza kubadilisha gia angani.
Haya.. ngoja tuwaone.Siku zote ilikuwa ni fainali mbili wakajaribu kuweka moja ikawashinda wakarudisha mbili na wamesema hawaendi tena fainali moja hadi 2060
HahahahahaNaiscreenshot hii komenti
unasemaaje wewe uto?Ni sahihi hamna timu oale hata mimi nawapa Yanga ubingwa. Jamaa ni wa kawaida sana sawa na Namungo tu sema wao ni waarabu. Nimeangalia mechi zao zote mbili zidi ya Asec, wa kawaida sana.
Haya njoo hapa we chura ujibu tena.Umeandika ujinga mtupu.
Kwa hiyo mayele akifa leo yanga itakufa?
Walikuwepo kina nonda waliondoka na mambo yakaenda kawaida tu. Kuna mastraika wengi sana afria issue ni pesa na scouting tu. Wewe mpaka leo sub zako anaingia bocco na kyombo unawabeza kina maize na musonda? Wewe kwa muda wa miaka 10 una mchezaji yyte uliyemtengeneza toka ndani??