Yanga na viongozi nyoronyoro

Yanga na viongozi nyoronyoro

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,858
Reaction score
2,059
Inakera sana kuona viongozi wa Yanga waliopo hata hawakerwi kufungwa na simba. Hata uchukue Klabu Bingwa Afrika kama hujamfunga simba ni mchuzi bila chumvi.

Kina Mkwasa mmechoka tokeni achieni wenye kuleta ushindi wa kufurahisha mashabiki na kuboresha rekodi.
Mnakera sana. Mxyuuuuu
 
Nikiri huu ndio ujinga wa mpira wa kitanzania kuonyesha kuhamgaika sanakisa simba wana heza na yanga tu! Hii ndio sababu zikija timu za nje ni kufungwa kwa kwenda mbele. Maandalizi ya timu kubwa kama hizi yanafanyika pale tu zinzpokutana huu ni ujinga unaoendelea kuua viwango vya soka Tanzania.
 
Hakuna haja kupanic yanga wanamchezo mgumu makundi kwani simba wamefanya ajabu gani
 
Back
Top Bottom