dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
Inakera sana kuona viongozi wa Yanga waliopo hata hawakerwi kufungwa na simba. Hata uchukue Klabu Bingwa Afrika kama hujamfunga simba ni mchuzi bila chumvi.
Kina Mkwasa mmechoka tokeni achieni wenye kuleta ushindi wa kufurahisha mashabiki na kuboresha rekodi.
Mnakera sana. Mxyuuuuu
Kina Mkwasa mmechoka tokeni achieni wenye kuleta ushindi wa kufurahisha mashabiki na kuboresha rekodi.
Mnakera sana. Mxyuuuuu