Yanga na Wydad are useless teams upfront

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
i watched the 2 games. Makocha wa hizi team wote Awana objective football . Useless in attack . Kama wanashinda watoa nje .

Kwa yanga it’s worse than wydad . Yanga amna kitu wanaweza useless team in this champions league . Very disorganized attack. I believe watatoka wa Mwisho kwenye magroup Yao .
 
Kabla ya kuvuta bange kumbuka kula.
 
Waydad kishampasua 5imba/Kolo FC.
 
Kwani hao Makolo wamefunga magoli mangapi hadi sasa? Ti
Vipi kuhusu timu yako imeweza kufunga magoli mangapi hadi sasa?
 
Ijumuishe na 5imba.
 
sasa kuandika tu shida,huo ujuzi wa ukocha utaweza kweli?awana ndio nini?
 
Haaahaaa!!! Makolo bhana, huyo useless team mmemfunga ngapi jana nyie useful KOLO
 
Wakati nasoma ulichoandika, nilipokutana na AWANA (hawana) na AMNA (hamna), nikaona huyu mbumbumbu FC hana analolijua..!!
 
I watched the 2 games.....
Nikasema kuchambua mpira Tanzania ni Dr Mpango tu ndo sijawahi kumsikia, lakini hata Kinana anaweza.
 
Asante sana mwenyekiti wa wachambuzi wa ovyo Tanzania. (WAOTA)kwa kuwakilisha wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…