Yanga nao ni wanufaika wa mechi za simba dhidi ya timu za nje.

mpiga vichwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
2,376
Reaction score
3,811
Wana jf natumaini hamjambo.
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza, wanayanga nao ni wanufaika wakubwa wa mechi za simba vs wageni kutokana na sababu zifuatazo ;
1.simba inapocheza na timu za nje , Yanga hupata wasaa wa kuwafahamu wachezaji wenye uwezo wa timu hizo na hatimaye kuwasajili. Mf. Kisinda , Yakuba , Djuma n.k . Vinginevyo wangewajulia wapi? Sasa hivi wanamuwania Azizi Ki

2.Kuna Mashabiki wa Yanga wanamiliki vibandaumiza.Siku za mechi huingiza vipato kutokana na watazamaji wanaoingia katika vibanda hivyo kuangalia mpira.

3.Kuna Mashabiki wa Yanga ni bodaboda na madereva wa taxii . Siku za mechi hufanya safari za kuwapeleka Mashabiki uwanjani kushuhudia mechi hizo na hujiingizia kipato.

4.Mashabiki wa Yanga ni mamantilie , wauza mchicha n.k.
Siku za mechi wageni toka mikoani hupata chakula kwa mamantilie hao na hivyo mamantilie hujipatia kipato chao.

Malizia faida nyingine unazozifahamu wewe wanazozipata Wana jangwani hao Kupitia hizi mechi za kimataifa za simba.
 
Yanga wanafatilia sana mechi za simba ila wakiambiwa mechi za simba zinaangaliwa na watu wengi wanabisha
 
Wanawake wa bar wengi ni mashabiki wa mpira ila bado nachunguza ni kwa nini
 
Kuna 5-0 hapo, nasubiri uandike tena niweke kipigo kingine, maana naona safari hii umekawia kupost [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameona isiwe tabu , ameelekea zizini kuzoa kinyesi cha ng'ombe wa maNyele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…