Yanga nao wanataka kuuza mtu

Huo uchafu waupeleke wapi kwa maajabu gani wamefanya mpaka wachukuliwe.Nyie tunawasubiri tu ligi ianze hamchelewi kusema refa anawabeba simba.Tripu hii tunauzamisha mwiko wote.
 
Tulieni mbumbumbu fc msihangaike sindano itavunjikia takoni.
 
Zamalek kupitia magazeti ya misri wametangaza nafasi 3 za kazi 1 ya mpishi, 1 ya mfua jezi na 1 ya usafi wa vyoo vya wachezaji.
Rabat kupitia mtandao wao wametangaza nafasi moja ya muosha bus la wachezaji
 
Thubutu, Zamaleck hawachukuagi viwete wewe! Yanga wanatengeneza kiki tu, unawezaje uza vizee kwa waarabu nani kawaambia Zamaleck wanachukua skrepa?
Si ndiyo hapo sasa! Yaani Zamalek waache kuchukua wachezaji vijana kama Onyango, Meddie Kagere, Erasto Nyoni, John Boko, Pascal Wawa! Wamsajili mchezaji mzee kama Yacouba Sogne!!!

Hilo haliwezekani hata kidogo.πŸ™„
 
Daaaaaah yaani utopolo mnakua na mchezaji wa kuazima afu unadanganya mashabiki kua mmevunja mkataba, Ebu tuambieni mmepata sh ngapi kutoka kwa Kisinda?
 
Eti Yanga nao wanasema kuwaa wamepokea ofa za kuwahusu

Tuisila kisinda kwenda FAR Rabat

Yakuba kwenda zamalek

Mukoko kwenda zamalek

Unadhani ni kwelii zamalek wanamtaka Yacouba?
Mwanariadha anaondoka [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…