Yanga naona mmefanikiwa kuhonga marefa wa CAF msipochukua ubingwa ndiyo basi tena

Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.

Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
Wewe ni kinyesi na ubongo wako umejaa fungus na hutakuja kupona milele

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.

Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
Hata mama yako alicheza dengarous play na wewe ukazaliwa. Tuliza kipeo
 
Kweli ngozi nyeusi tumelaaniwa

Ss walipo bebwa ni wapi?

Ttzo ni hamkutegemea km Yanga wanaweza kugeuza kibao cha kwa Mkapa hatoki mtu
Umeongea vizuri, ila kwenye laana hapo itakuwa kwenye ukoo wenu.
 
Mimi sio shabiki wa mpira.

Ila wewe ni kati ya mashabiki waliopungukiwa akili ambao Simba ikishinda wanatafuta sababu ili ionekane mbovu wakati huo huo Yanga wakishinda wanaonekana wameshinda kwasababu ambazo hazina mashiko.

Mashabiki wa Simba na Yanga jitahidi kuwa na uwezo wa kufikiri kidogo.
Msema ukweli ni kipenzi cha Mungu. umepata thawabu kwa kusema ukweli huu.
 
Home advantage hiyo boss,simba tushahonga sana marefa,kule uganda refa tulihonga so hakuna jipya,ushindi huanzia nje..
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.

Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
Hata nyinyi mbona tumewahonga Sana zaidi ya waamuzi CUF ndio maana hamjapata ushindi dhidi yetu miaka kadhaa sasa
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.

Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
ukiandika kama hivi huwa unapata faida gani haswa? ukiambiwa uthibitishe utaweza?
ni Tanzania pekee watu wapumbavu wanajiita wenye akili. kama wewe shame on you
 
Back
Top Bottom