Yanga naona mmefanikiwa kuhonga marefa wa CAF msipochukua ubingwa ndiyo basi tena

Wewe ni kinyesi na ubongo wako umejaa fungus na hutakuja kupona milele

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hata mama yako alicheza dengarous play na wewe ukazaliwa. Tuliza kipeo
 
Kweli ngozi nyeusi tumelaaniwa

Ss walipo bebwa ni wapi?

Ttzo ni hamkutegemea km Yanga wanaweza kugeuza kibao cha kwa Mkapa hatoki mtu
Umeongea vizuri, ila kwenye laana hapo itakuwa kwenye ukoo wenu.
 
Msema ukweli ni kipenzi cha Mungu. umepata thawabu kwa kusema ukweli huu.
 
Home advantage hiyo boss,simba tushahonga sana marefa,kule uganda refa tulihonga so hakuna jipya,ushindi huanzia nje..
 
Hata nyinyi mbona tumewahonga Sana zaidi ya waamuzi CUF ndio maana hamjapata ushindi dhidi yetu miaka kadhaa sasa
 
ukiandika kama hivi huwa unapata faida gani haswa? ukiambiwa uthibitishe utaweza?
ni Tanzania pekee watu wapumbavu wanajiita wenye akili. kama wewe shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…