Yanga;Nawashauri muwapeleke akina said makapu katika timu nyingine kwa mkopo.

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Ni ukweli usiopingika sasa yanga imesheheni viungo wa kiwango cha juu ,na hasa iwapo yanga itamalizana Papy kabamba tshishimbi anaedaiwa kuwa bado ana mkataba na timu take.
Hivyo kwa maslahi ya viwango vya baadhi ya wachezaji kama ndugu Saidi Juma makapu, Yusuf Mhilu,Justine Zulu(apelekwe hata mvuvumwa fc), na Mateo Antony. Ni ushauri tu, Na bashiri yanga msimu ujao itakuwa dhaifu eneo la beki.
Nawasilisha!
 
Pia mwambusi asirudi tena yanga
 
Makapu bora aachwe asajiliwe huko Nanjilinji
 
Yanga ukuta ni pasua kichwa. Mcameroon na Mnigeria hawasomeki kabisa, Yondani na Canavaro ni uchochoro uliochangiwa na umri plus majeraha. Hata golikipa labda awe Kakolanya, huyu Mcameroon wa Lyon, Youthe Rostand nimemuangalia katika mechi kadhaa, silaha yake kubwa ni kujiamini na utulivu, lakini si mkamataji mzuri wa mipira, anatema mipira mingi. Naweza kumfananisha na Ivo Mapunda. Akikutana na washambuliaji waliomsoma vizuri, mmoja atakuwa anaachia mkwaju halafu mwingine anaukimbizia ili kwenda kumalizia mpira uliotemwa. Yanga hawakuwa na sababu ya kuzembea hadi Said Mohamed akatua Simba wakati alikuwa yupo yupo tu
 
Said Mohamed ni shati mechi moja ya cosafa isikudanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Said Mohamed ni shati mechi moja ya cosafa isikudanganye
Ana unafuu kuliko Rostand, kwa hiyo badala ya kusajili kipa mgeni heri kusajili mzawa ili nafasi hiyo itumiwe kuwasajili wachezaji wa nafasi nyingine. Sema tu Yanga haipendi kumrudisha Said Mohamed kwani katika kile kipigo cha mabao 5-0, mabao manne kati ya hayo matano Said Mohamed alikuwa langoni
 
Hivi kumbe yeye ndo alikuwa golini??, bora aende huko.
 
Kwa
Kwa beki hasa ya kushoto inanivuruga kweli yaani haji mwinyi.
 
Yule Dogo ni mzuri nafkir akienda timu kama ndanda atacheza sana.

Si ndo kawaida yenu kuuwa vipaji vya watoto watu ,mnawarundika halafu hamuwatumii hadi viwango vinaisha.

Ni tamaa zao lakini ,watajijua!
 
Si ndo kawaida yenu kuuwa vipaji vya watoto watu ,mnawarundika halafu hamuwatumii hadi viwango vinaisha.

Ni tamaa zao lakini ,watajijua!
Kumbuka Saidi makapu ni taifa stars maboresho,hivyo angalia alikotokea
 
Kumbuka Saidi makapu ni taifa stars maboresho,hivyo angalia alikotokea

Ni sawa tu na huyo dogo kipa wa Serengeti asipojiongeza ataishia kupiga selfie tu kwenye mazoezi,maana sioni mechi za kupangwa pale
 
Y
Ni sawa tu na huyo dogo kipa wa Serengeti asipojiongeza ataishia kupiga selfie tu kwenye mazoezi,maana sioni mechi za kupangwa pale
Yule yupo kwenye training bado umri unaruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…