BABU MKUKUMILA
Member
- Feb 20, 2013
- 89
- 33
Ni ukweli usiopingika sasa yanga imesheheni viungo wa kiwango cha juu ,na hasa iwapo yanga itamalizana Papy kabamba tshishimbi anaedaiwa kuwa bado ana mkataba na timu take.
Hivyo kwa maslahi ya viwango vya baadhi ya wachezaji kama ndugu Saidi Juma makapu, Yusuf Mhilu,Justine Zulu(apelekwe hata mvuvumwa fc), na Mateo Antony. Ni ushauri tu, Na bashiri yanga msimu ujao itakuwa dhaifu eneo la beki.
Nawasilisha!
Kila timu ina first eleven na wachezaji wa akiba, ndiyo maana kila timu inasajili wachezaji 25 au zaidi na hakuna timu inayitumia wachezaji wote.