Yanga;Nawashauri muwapeleke akina said makapu katika timu nyingine kwa mkopo.

Yanga;Nawashauri muwapeleke akina said makapu katika timu nyingine kwa mkopo.

Ni ukweli usiopingika sasa yanga imesheheni viungo wa kiwango cha juu ,na hasa iwapo yanga itamalizana Papy kabamba tshishimbi anaedaiwa kuwa bado ana mkataba na timu take.
Hivyo kwa maslahi ya viwango vya baadhi ya wachezaji kama ndugu Saidi Juma makapu, Yusuf Mhilu,Justine Zulu(apelekwe hata mvuvumwa fc), na Mateo Antony. Ni ushauri tu, Na bashiri yanga msimu ujao itakuwa dhaifu eneo la beki.
Nawasilisha!

Kila timu ina first eleven na wachezaji wa akiba, ndiyo maana kila timu inasajili wachezaji 25 au zaidi na hakuna timu inayitumia wachezaji wote.
 
Yanga ukuta ni pasua kichwa. Mcameroon na Mnigeria hawasomeki kabisa, Yondani na Canavaro ni uchochoro uliochangiwa na umri plus majeraha. Hata golikipa labda awe Kakolanya, huyu Mcameroon wa Lyon, Youthe Rostand nimemuangalia katika mechi kadhaa, silaha yake kubwa ni kujiamini na utulivu, lakini si mkamataji mzuri wa mipira, anatema mipira mingi. Naweza kumfananisha na Ivo Mapunda. Akikutana na washambuliaji waliomsoma vizuri, mmoja atakuwa anaachia mkwaju halafu mwingine anaukimbizia ili kwenda kumalizia mpira uliotemwa. Yanga hawakuwa na sababu ya kuzembea hadi Said Mohamed akatua Simba wakati alikuwa yupo yupo tu
Said Mohamed alishawahi kuwa Yanga akala bench sana nadhan hata zile 5 na Simba alipigwa kama 3 hivi yeye! Hamna kitu pale
 
Said Mohamed alishawahi kuwa Yanga akala bench sana nadhan hata zile 5 na Simba alipigwa kama 3 hivi yeye! Hamna kitu pale
Lakini inategemea na ubora wa timu pinzani pia
 
Back
Top Bottom