Yanga nayo ina Historia yake Klabu Bingwa, msiidharau

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia.

Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Yanga nayo imo.

Kwa mujibu wa taarifa za CAF, mwaka 1998 Yanga ilifungwa magoli 6-0 na Klabu ya Raja CA ya Morocco.

Kwa ivo Yanga wasibezwe na wao kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, wana rekodi yao.

 
RAJA CA ni ya Casablanca, Morocco! Rekebisha tafadhali.
 
Nice kujipa tu faraja lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…