Yanga ndani ya kimvuli cha Mazembe ya zamani

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii
Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu
Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend
Msimu ujao, ukiona yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Bado Asubuhi sana mkuu!!
 
Kama wamejua kucheza michezo ya kimataifa Kwa nini useme "ukiona yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa". Yaani timu ijue kucheza michezo ya kimataifa halafu kuingia makundi champions iwe ni bahati? Sasa hiyo michezo iliyojua kucheza ni ipi? Hakika uto ni uto.

Halafu mpira sio rede msimu ujao mnaweza msiguse hata makundi ya shirikisho. Jipangeni na sio kukariri.
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii
Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu
Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Tukisema umeandika upupu ooh nyie mpondaji tu, hamna kitu technical hapo umeandika Bali hisia tu, si bora ungeandika kitu technical tujadili

Miongoni mwa Right za kila mmoja hapa jf kuanzisha thread maadam haina harmful content, sio kosa lako
 
Yanga akijitahidi sana ni kuingia makundi ya Champion league, mafanikio ya confederation cup yanawadanganya kuwa eti ni sawa na Champion league, confederation ni level za RS Berkane na Marumo Gallants while Champion league ni level za Al Ahly, Wydad, Mamelod, Simba nk. Yanga hana uwezo wa kuvuka makundi ya Champion league.
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe

Maneno ya mtandaoni huwa yanaishi...
 
Yanga akijitahidi sana ni kuingia makundi ya Champion league, mafanikio ya confederation cup yanawadanganya kuwa eti ni sawa na Champion league, confederation ni level za RS Berkane na Marumo Gallants while Champion league ni level za Al Ahly, Wydad, Mamelod, Simba nk. Yanga hana uwezo wa kuvuka makundi ya Champion league.
Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakika
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Kombe gani mumepata
 
Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakika
Kuchukua nini ? Acha kufananisha Champion league na ujinga wa confederation, angalia timu zote zilizomfunga Yanga msimu ulioisha za nje ya Tz hazijatoboa hata quarter final ya Champion league ( Al Hilal na Viper ). Yanga uwezo wake ni huko confederation, huku Champion league ataishia kula khamsa tu .
 
Timu iliyokula khamsa mfululizo inajulikana
 
Back
Top Bottom