Yanga ndani ya kimvuli cha Mazembe ya zamani

Yanga ndani ya kimvuli cha Mazembe ya zamani

Tatizo ni usela mwingi wa viongozi,yaani uhuni tuu,sasa mtu kama bangala na lomalisa ni wa kulipwa ada ya usajili nusu nusu kweli??
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Kumbe yanga yenyewe inawaza makundi ya club bingwa wakati wenzao tunawaza nusu huko makundi tulishapita zamani
 
Yanga akijitahidi sana ni kuingia makundi ya Champion league, mafanikio ya confederation cup yanawadanganya kuwa eti ni sawa na Champion league, confederation ni level za RS Berkane na Marumo Gallants while Champion league ni level za Al Ahly, Wydad, Mamelod, Simba nk. Yanga hana uwezo wa kuvuka makundi ya Champion league.
Mko wengi
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Uzuri wa timu haupatikani kwenye kombe la losers.
Yanga akiingia anga za al ahly, raja, wac, sundown, esperence, petro atletico, far rabat etc, na akatoka mzima, kwa kuchukua kombe la caf cl. Ndiyo tunaweza kuilinganisha na tp mazembe ya kalaba, samata, etc
 
Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakika
Yanga aingie Makundi CL Al Hilal ya [emoji1232] watakua wana waangalia tyuuh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe

Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.

Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.

Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm

Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Yanga kucheza shirikisho imekuwa timu nzuri? Usifananishe CAF Champion League na CAF Confederation CUP.
Yanga ameingia CAF champion league amecheza mechi mbili tu Zalan na Al Hilali. Biashara yake ndiyo iliishia hapo.
Yanga imekuwa inazungumziwa sana kuhusu mechi za kimataifa kwasababu
1. Waliendelea kucheza shirikisho
2. Watu hawajui kuhusu CAF Champion League na CAF Confederation Cup.
Kimataifa Simba ni bora kuliko Yanga kwasababu
A. Msimu wa mwaka juzi uliopita Yanga sijui ilicheza mechi 2 ikawa imetoka lakini Simba ilifika robo fainali shirikisho
B. Msimu mwaka jana na huu Simba imecheza CAF Champion League mpaka robo fainali na haijacheza shirikisho lakini Yanga imecheza mechi mbili tu Zalan na Al Hilal
Msimu unaokuja jiandae kukutana na timu mojawapo kati ya hizi Al Ahly, Al Hilal, Wydad, Mamelod na Raja. Kuivunja rekodi ya Simba kimataifa bado sana.
Swali: Timu ya Sevilla iliyochukua kombe la UEFA Europa league ni timu bora kuliko Real Madrid iliyofungwa magoli 4-0 kwenye nusu fainal UEFA Champion League.?
 
Back
Top Bottom