Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Azam itoe hapo, hawapo siriasi wale watu.Natabiri msimu ujao kuwa mtamu na wenye ushindani mkubwa kwa vilabu vitatu vya Yanga, simba na Azam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam itoe hapo, hawapo siriasi wale watu.Natabiri msimu ujao kuwa mtamu na wenye ushindani mkubwa kwa vilabu vitatu vya Yanga, simba na Azam.
Kumbe yanga yenyewe inawaza makundi ya club bingwa wakati wenzao tunawaza nusu huko makundi tulishapita zamaniHakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.
Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Mko wengiYanga akijitahidi sana ni kuingia makundi ya Champion league, mafanikio ya confederation cup yanawadanganya kuwa eti ni sawa na Champion league, confederation ni level za RS Berkane na Marumo Gallants while Champion league ni level za Al Ahly, Wydad, Mamelod, Simba nk. Yanga hana uwezo wa kuvuka makundi ya Champion league.
Uzuri wa timu haupatikani kwenye kombe la losers.Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.
Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
kocha mnae wakuwafikisha kwenye hayo malengo yenu mtani?Natabiri msimu ujao kuwa mtamu na wenye ushindani mkubwa.
Yanga aingie Makundi CL Al Hilal ya [emoji1232] watakua wana waangalia tyuuh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakika
Yanga kucheza shirikisho imekuwa timu nzuri? Usifananishe CAF Champion League na CAF Confederation CUP.Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.
Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Nyie mna kipi hasa ,misimu mitano mmevuna points 35,yanga msimu mmoja tu points 20, bado unaona sawa tu!? JitafakariHivi huwa mna ulimbukeni gani nyie? Kufika fainali ya losers' cup mnajiona giants of EAST AFRICA?
Dah ama kweli bado ni wawili tu.