Bado Asubuhi sana mkuu!!Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii
Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu
Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend
Msimu ujao, ukiona yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Simba waondoe hapoNatabiri msimu ujao kuwa mtamu na wenye ushindani mkubwa kwa vilabu vitatu vya Yanga, simba na Azam.
Tukisema umeandika upupu ooh nyie mpondaji tu, hamna kitu technical hapo umeandika Bali hisia tu, si bora ungeandika kitu technical tujadiliHakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii
Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu
Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.
Msimu ujao, ukiona yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.
Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakikaYanga akijitahidi sana ni kuingia makundi ya Champion league, mafanikio ya confederation cup yanawadanganya kuwa eti ni sawa na Champion league, confederation ni level za RS Berkane na Marumo Gallants while Champion league ni level za Al Ahly, Wydad, Mamelod, Simba nk. Yanga hana uwezo wa kuvuka makundi ya Champion league.
Kombe gani mumepataHakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya kimataifa ili wawaletee kombe
Nilisema siku Yanga wakijua kucheza michezo ya kimataifa usitegemee tena kuwa watarudi nyuma.
Na tayari wamepata ufunguo wa kucheza michezo hii ya kimataifa my friend.
Msimu ujao, ukiona Yanga wamebahatika kucheza hatua ya makundi club bingwa ([emoji1787][emoji28][emoji22]) mmmmmm
Nisimalize maneno yote
Acha watajionea wenyewe
Kuchukua nini ? Acha kufananisha Champion league na ujinga wa confederation, angalia timu zote zilizomfunga Yanga msimu ulioisha za nje ya Tz hazijatoboa hata quarter final ya Champion league ( Al Hilal na Viper ). Yanga uwezo wake ni huko confederation, huku Champion league ataishia kula khamsa tu .Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakika
Timu iliyokula khamsa mfululizo inajulikanaKuchukua nini ? Acha kufananisha Champion league na ujinga wa confederation, angalia timu zote zilizomfunga Yanga msimu ulioisha za nje ya Tz hazijatoboa hata quarter final ya Champion league ( Al Hilal na Viper ). Yanga uwezo wake ni huko confederation, huku Champion league ataishia kula khamsa tu .