Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga!
Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi nyumbani kwao Algeria!
Tukumbuke kushinda ugenini ni jambo Moja na kushinda kwenye nchi za kiarabu ni jambo jingine,,ni mtihani kwelikweli kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tunawekana sawa maana Kuna magenge Fulani yanajizima data na kushinda kuelewa kwamba class ni permanent but form is temporary ivyo Yanga isichukuliwe poa poa kwa kuteleza mechi 3 aiondoi class waliyonayo na quality waliyonayo watarudi kwa kishindo hivi KARIBUNI!