Yanga ndio klabu pekee kutoka Tanzania imewai kupata ushindi kwenye nchi za kiarabu hivi karibuni ndani ya dk 90 kama ipo nyingine tutajie!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga!

Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi nyumbani kwao Algeria!

Tukumbuke kushinda ugenini ni jambo Moja na kushinda kwenye nchi za kiarabu ni jambo jingine,,ni mtihani kwelikweli kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!

Tunawekana sawa maana Kuna magenge Fulani yanajizima data na kushinda kuelewa kwamba class ni permanent but form is temporary ivyo Yanga isichukuliwe poa poa kwa kuteleza mechi 3 aiondoi class waliyonayo na quality waliyonayo watarudi kwa kishindo hivi KARIBUNI!
 
KWA HIYO!
 
Simba ishashinda ugenini kwa AS Vita ya moto kwenye CAF champions na ikarudi kujitafuta sembuse kushinda kwa hao vilaza wa kiarabu kwenye shirikisho ndio useme eti class is pemarnent. Wachezaji ushuka viwango na kuchoka na ndio maana klabu kila msimu zinanunua wachezaji , hivyo hakuna guarantee ya uto kushinda hiyo mechi eti kisa iliwahi kushinda uarabuni.
 
Well said.
 
Itoshe tu kusema "ushamba ni mzigo"
 
Ukweli mtupu.
 
Umesoma Uzi vizuri ama unataka tuendelee kumpa credit Rage?
 
Kumbe siku za karibuni...
Nilijua hakuna kwny kazi data...
Utajijua mwenyewe sisi tunajua Simba ilimbamiza Zamaleki huko kwao...
 
11. Uchawa
 
Kumbe siku za karibuni...
Nilijua hakuna kwny kazi data...
Utajijua mwenyewe sisi tunajua Simba ilimbamiza Zamaleki huko kwao...
Ilimbamiza zamalek ndani ya mda Gani? Soma Uzi vizuri ulimtoa zamalek nje ya dk 90 kwa mikwaju ya penalty,,
 
This time ndio mtaitafuta robot fainali hadi jasho la mpalange liwatoke. Na zile kauli sijui mwakarobo ndio zinaenda kuzika rasmi
 
Wakati Simba anamfunga El merreikh kwao Sudan ulikuwa hujazaliwa......enzi za akina Nteze John, Hussein Masha.......

Au unajua vizuri ndio maana ukaweka 'condition' kwenye kichwa cha habari cha andiko lako.
 
Ameanza kuishabikia yanga ujio wa kisinda na hersi miaka hiyo unayoisema alikuwa bado kiunoni!
 
Watabisha.
 
Wakati Simba anamfunga El merreikh kwao Sudan ulikuwa hujazaliwa......enzi za akina Nteze John, Hussein Masha.......

Au unajua vizuri ndio maana ukaweka 'condition' kwenye kichwa cha habari cha andiko lako.
Nafikiri umelielewa bandiko linasemaje isipokuwa unajitoa ufahamu,,ndio maana mnaferi sana mitihani
 
Sjaona point ya mhimu ni ipi kwan, huu ndio ushabiki mbweha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…