Unajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.
Sikia, timu bora Afrika mashariki na kati ni timu ambayo imefanya vizuri katika ligi za kimataifa kwa muda mrefu katika ligi ya club bingwa..na timu hiyo ni SIMBA SC
Hii yanga ndio imeingia juzi hatua ya makundi baada ya kujitafuta kwa miaka 28,wakati Simba sc inacheza kila siku club bingwa miaka yote tokea nchi ipate uhuru..Simba mbali na kucheza makundi ya club bingwa sana,imefika robo mara tano...imefika nusu fainal ya club bingwa mwaka 1974,kwenye ile kombe la loser(shirikisho)Simba sc imecheza fainal 1993..Rais wako Mama Samia aliwathibitishia juzi mlipo cheza final ya shirikisho,akawaambia mlipo wenzenu walifika siku nyingi.
Ukubwa wa yanga ipo wap?au kwenye hizi ligi za ndani zinazochezeshwa na waamuzi wabovu ambao huipa matokeo timu mbovu kwenye ligi ya NBC?
Na nakuhakikishia yanga haiwezi kufika robo club bingwa mtaishia makundi nipo nimekaa hapa.
Na mechi ambayo yanga imeshinda juzi dhidi ya medeana ndio mechi ya kwanza yanga kushinda katika ligi ya club bingwa tokea kuanzishwa kwa yanga na kuumbwa kwa Dunia..na medeana ni ya 59 kwa ubora bara ya Afrika..just image
Simba imecheza Super ligi juzi ligi ambayo zinacheza timu 8 bora barani Afrika..nalo hilo mkuliona?ukubwa Simba huo.
Simba sc imechaguliwa na FIFA(FIFA ni shirika la mpira wa miguu duniani) kuwania kombe la Dunia 2025 na TFF,CUF na FIFA kwenye mafile na takwimu zao inayonyesha Simba sc ndio Timu kubwa na bora na ya kwanza Tanzania,Afrika mashabiki na kati na ni timu namba 7 kwa ubora na ukubwa barani Afrika ..imethinitishwa..hii yanga ya waandishi.makanjanja ipo wap?
Juzi Ahy Ahy ilipo tua Tanzania waandishi makanjanja wakaenda kuwahoji kwa kutumia maswali ya mtego ili kufanyajustification ya upumbavu na ujinga wao..ila muarabu aliyeandikwa katika vitabu vyote vya dini akawaambia Simba sc ni timu kubwa barani Afrika na namba moja Tanzania.Hiyo yanga hawaijui ila wanahisi ni namba 2 Tanzania.