Yanga ndio Timu Bora Kwa sasa ukanda wa East Africa+DRC

Ukiambiwa uweke nyumba ukiwa na uhakika uto kuifunga simba sidhani kama utaweka. Hapa tunajua unajiandikia tu kiutopolo na kishabiki maandazi ila akili zikikurudia utaamini mpira ni dk 90. Simba anaifunga wydad na inaweza kuifunga belouizdad iliyokuchabanga 3-0 halafu eti ujihakikishie uto haiwezi kufungwa na simba.Jidanganye uto.

Halafu CAF shirikisho ni mashindano ya timu za kati. Hakuna timu ya maana inatamani kushiriki hayo mashindano. Ukiona akina mamelod, al ahly, wydad, mazembe wakishiriki hayo mashindano ujue wameshuka viwango. Uto hakuna cha maana ilichoachieve kulinganisha na simba kimataifa.

Uto unajiona bora kuliko Mazembe kisa mliifunga msimu uliopita wakati mazembe kwenye group gumu caf amevuna points nyinyi kuliko nyinyi. Uto unaishi kwa kukariri.
 
Endelea kuwa na denial . Mmecheza shirikisho mara ngapi? Mmefika hata nusu for the past 40 yrs ?

Sisi tumefika fainal.

After all naona denial kubwa, leta timu uwanjani tuamue nani

Tupo kwenye serious business, deep down you have to accept that
Na wakijichanganya Zenji mara Paap hawa hapa.

Tutapandisha mnara tena
 
Hivi Tanzania, Afrika mashariki na kati kuna timu yoyote Bora kuizidi Simba ambayo ni ya 7 kwa ubora Afrika kulingana na point za kimashindano?

Mihemko ya utopolo united ni tatizo sana, kwa Tanzania tunajuana sisi ila kwa nje Simba bado powerhouse ya football Afrika mashariki na kati.
 
Anachotakiwa kujua ni kwamba timu inakuwa bora kwenye ukanda, bara au duniani kutokana na hiyo timu kufanya vizuri kwenye mashindano makubwa kuzidi timu zingine. Kwa Afrika timu bora ya taifa ni Morocco pamoja na kwamba Senegal ndio bingwa wa Afcon hii ni kutokana na kwamba Morocco alifanya vizuri zaidi kwenye mashindano makubwa, world cup.

Sasa hawa wanajiita wao ni timu bora kwa sasa huu ukanda lakini hakuna chochote walichowazidi klabu zingine kwenye mashindano makubwa ya CAF. Hakika uto ni uto.
 
Nimawafuatilia yanga kwa muda sasa ila nawaona wakicheza jihad tu.

Ila technically hakuna kitu mule.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariiiiiiii
 
PUMBA.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…