Yanga ndio timu mbovu kuliko timu zote Tanzania kwa sasa

Yanga ndio timu mbovu kuliko timu zote Tanzania kwa sasa

Ili mradi umetoa ushuzi
1731040984296.gif
 
Usipoifunga yanga utaifunga timu gani?

Yanga(matunguli fc)
Mechi : 2
Yanga 0 azam 1
Yanga 1 tabora utd 3
Points:0
Magoli ya kufunga:1
Magoli ya kufungwa:4
Msimao : no #2(hadi mwezi wa 3 watakuwa wa10)

Simba
Mechi : 2
Mashujaa 0 Simba 1
Simba 4 kmc 0
Points : 6
Magoli ya kufunga : 5
Magoli ya kufungwa: 0
Msimamo : no #1

Al hilal mshindwe nyinyi tu kuwafunga vibonde hawa. Wameshajifia hawa wanavuja mbele na nyuma. Pigeni mizoga hii.
Uongozi wa milembe hospital Kuna wateja wenu wengine uku wanatusumbua, Mangungu anayo kazi ya ziada kuongoza watu wa aina hii ni kibarua aswaa!
 
Usipoifunga yanga utaifunga timu gani?

Yanga(matunguli fc)
Mechi : 2
Yanga 0 azam 1
Yanga 1 tabora utd 3
Points:0
Magoli ya kufunga:1
Magoli ya kufungwa:4
Msimao : no #2(hadi mwezi wa 3 watakuwa wa10)

Simba
Mechi : 2
Mashujaa 0 Simba 1
Simba 4 kmc 0
Points : 6
Magoli ya kufunga : 5
Magoli ya kufungwa: 0
Msimamo : no #1

Al hilal mshindwe nyinyi tu kuwafunga vibonde hawa. Wameshajifia hawa wanavuja mbele na nyuma. Pigeni mizoga hii.
Yaani kwa uandishi huu tu wataalam wa saikolojia wameshakujua undani wako. Kimsingi wewe ni mtu ambaye mind yako ina negativity kibao, umejaa wivu na ni mtu wa majungu sana. Kwenye jamii unapoishi au kufanya kazi WATAKUWA WANATESEKA SANA. Na kama kuna jirani yako ambaye mambo yake yanakwenda vema UTAKUWA UNAUMIA SANA NA KUMPIGA MAJUNGU.
 
Mbona ni utani tuu? Mlivyokua mnainanga Simba kuisema daily?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kampeni ya Ubaya Ubwela iendelee bila kukoma. WanaSimba onyesheni Ubwela wenu
Yanga ikianza na yenyewe utasikia kelele kea GSM. Alafu nyie ni wepesi wa kusahau. Mmetoks kulialia juzi tu ila baada ya kushika nafasi ya kwanza tayari mmeshajisahau. Subirini. Tutakuja kukumbushana hapa hapa?
 
Usipoifunga yanga utaifunga timu gani?

Yanga(matunguli fc)
Mechi : 2
Yanga 0 azam 1
Yanga 1 tabora utd 3
Points:0
Magoli ya kufunga:1
Magoli ya kufungwa:4
Msimao : no #2(hadi mwezi wa 3 watakuwa wa10)

Simba
Mechi : 2
Mashujaa 0 Simba 1
Simba 4 kmc 0
Points : 6
Magoli ya kufunga : 5
Magoli ya kufungwa: 0
Msimamo : no #1

Al hilal mshindwe nyinyi tu kuwafunga vibonde hawa. Wameshajifia hawa wanavuja mbele na nyuma. Pigeni mizoga hii.
Chukua takwimu kuanzia mwanzo w ligi dunduka.
 
Yaani hili jinga sijui lilikuwa linafikiria nini?Halafu gongowazi wamemzunguka wanamshangilia.
 
Back
Top Bottom