Yanga ndio timu mbovu kuliko timu zote Tanzania kwa sasa

Uongozi wa milembe hospital Kuna wateja wenu wengine uku wanatusumbua, Mangungu anayo kazi ya ziada kuongoza watu wa aina hii ni kibarua aswaa!
 
Yaani kwa uandishi huu tu wataalam wa saikolojia wameshakujua undani wako. Kimsingi wewe ni mtu ambaye mind yako ina negativity kibao, umejaa wivu na ni mtu wa majungu sana. Kwenye jamii unapoishi au kufanya kazi WATAKUWA WANATESEKA SANA. Na kama kuna jirani yako ambaye mambo yake yanakwenda vema UTAKUWA UNAUMIA SANA NA KUMPIGA MAJUNGU.
 
Mbona ni utani tuu? Mlivyokua mnainanga Simba kuisema daily?
 
Reactions: Tui
Kampeni ya Ubaya Ubwela iendelee bila kukoma. WanaSimba onyesheni Ubwela wenu
Yanga ikianza na yenyewe utasikia kelele kea GSM. Alafu nyie ni wepesi wa kusahau. Mmetoks kulialia juzi tu ila baada ya kushika nafasi ya kwanza tayari mmeshajisahau. Subirini. Tutakuja kukumbushana hapa hapa?
 
Chukua takwimu kuanzia mwanzo w ligi dunduka.
 
Yaani hili jinga sijui lilikuwa linafikiria nini?Halafu gongowazi wamemzunguka wanamshangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…