Yanga ndio timu yenye rekodi mbovu zaidi katika groupstage ya CAF

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Salaam wakuu.

Klabu ya Yanga msimu huu imefanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya miaka 25 kupita kwa si vibaya tukiangalia rekodi zake katika hatua hiyo.

1. Yanga ndio timu inayoshikilia rekodi ya kufungwa magoli mengi katika hatua ya makundi ikiwa imeruhusu goli 19 katika mwaka wa 1998 rekodi hii mpaka leo haijavunja ila kuna dalili ya kuvunjwa tena na YANGA wenyewe.

2.Yanga inashikilia rekodi ya timu iliyofungwa goli nyingi katika msimu mmoja wa klabu bingwa goli 25 katika mwaka 1998 ikiwa goli 6 katika hatua za mwanzo na goli 19 hatua ya makundi.

3.Yanga ni miongoni mwa timu chache zinazoshikilia rekodi ya kumaliza hatua ya makundi katika klabu bingwa bila kupata ushindi na hii ilikuwa mwaka 1998 ambapo ilitoa sare 2 na vipigo 4.

NB: REKODI HIZI ZOTE KUNA DALILI YA KUVUNJWA TENA MWAKA HUU.
 
Simba ndio timu yenye rekodi iliyo tukuka ya kufungwa goli 10 katika michezo miwili, na kati ya iyo michezo miwili kila mchezo iliruhusu goli 5.

Hongera kwa Ahly ambao ni moja ya timu ilio onyesha ukomavu na fair play katika kipigo walicho mtandika Simba goli 5 mpaka dk ya 40 kipindi cha kwanza zilikua tayari goli izo zimetimia.

Kama Ahly wasingekua fair upo uwezekano Simba wangekufa goli zaidi ya 10 kwani kuna makosa ya wazi ambayo ki uhalisia zilikua Penalty kwa faida ya Ahly.

Refa na wachezaji wa Ahly walizungumza wapotezee[emoji3][emoji3]
Kama una wasiwasi na kilicho andikwa ingia kwenye Highlights za mechi hii, u tube ukapate burudani ya mechi husika.
 
Ila rekodi yenu ni mbovu zaidi..haijawahi kuvunjwa...sisi tulishawapa kichapo timu goli 7 kwa nunge kwenye champions legue ambayo hawo mabest wako alhaily hawajai kutoa hiko kichapo....
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Salaam wakuu.

Klabu ya Yanga msimu huu imefanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya miaka 25 kupita kwa si vibaya tukiangalia rekodi zake katika hatua hiyo.

1. Yanga ndio timu inayoshikilia rekodi ya timu iliyoruhusu magoli mengi katika hatua ya makundi ikiwa imerusu goli 19 katika mwaka wa 1998 rekodi hii mpaka leo haijavunja ila kuna dalili ya kuvunjwa tena na YANGA wenyewe.

2.Yanga inashikilia rekodi ya timu iliyofungwa goli nyingi katika msimu mmoja wa klabu bingwa goli 25 katika mwaka 1998 ikiwa goli 6 katika hatua za mwanzo na goli 19 hatua ya makundi.

3.Yanga ni miongoni mwa timu chache zinazoshikilia rekodi ya kumaliza hatua ya makundi katika klabu bingwa bila kupata ushindi na hii ilikuwa mwaka 1998 ambapo ilitoa sare 2 na vipigo 4.

NB: REKODI HIZI ZOTE KUNA DALILI YA KUVUNJWA TENA MWAKA HUU.
sawa
 
Mrs ihefu wana mikosi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba ndio timu yenye rekodi iliyo tukuka ya kufungwa goli 10 katika michezo miwili, na kati ya iyo michezo miwili kila mchezo iliruhusu goli 5.

Hongera kwa Ahly ambao ni moja ya timu ilio onyesha ukomavu na fair play katika kipigo walicho mtandika Simba goli 5 mpaka dk ya 40 kipindi cha kwanza zilikua tayari goli izo zimetimia.

Kama Ahly wasingekua fair upo uwezekano Simba wangekufa goli zaidi ya 10 kwani kuna makosa ya wazi ambayo ki uhalisia zilikua Penalty kwa faida ya Ahly.

Refa na wachezaji wa Ahly walizungumza wapotezee[emoji3][emoji3]
Kama una wasiwasi na kilicho andikwa ingia kwenye Highlights za mechi hii, u tube ukapate burudani ya mechi husika.
ila bado hawakuvunja rekodi ya yanga iliyodumu miaka 25.
 
1697026934909.png
 
Simba ndio timu yenye rekodi iliyo tukuka ya kufungwa goli 10 katika michezo miwili, na kati ya iyo michezo miwili kila mchezo iliruhusu goli 5.
Kwa nini uchague michezo miwili wakati group stage ina michezo sita? Hebu tuangalie magoli 19 aliyofungwa Yanga katika michezo yote sita:

1697027067130.png
 
Apa tupo kwenye rekodi sio matokeo ya group stage.
Rekodi ya simba ya kufungwa goli 10 kwa mechi mbili mfululizo Simba hana mpinzani kusini mwa Jangwa la Sahara. Ukitafuta wa stani kwa mechi moja utanielewa.
Rekodi ya Simba ya kutandikwa goli 10 kwa mechi mbili huwezi kuipata atakwenye Ligi yetu hapa nyumbani.

Ata umchukue kibonde wa ligi kuu au ligi daraja la kwanza kwetu apa haijawahi tokea.
 
"Yanga ni miongoni mwa timu chache zinazoshikilia rekodi ya kumaliza hatua ya makundi katika klabu bingwa bila kupata ushindi na hii ilikuwa mwaka 1998 ambapo ilitoa sare 2 na vipigo 4"
Screenshot_20231011-153952.jpg
 
Salaam wakuu.

Klabu ya Yanga msimu huu imefanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya miaka 25 kupita kwa si vibaya tukiangalia rekodi zake katika hatua hiyo.

1. Yanga ndio timu inayoshikilia rekodi ya kufungwa magoli mengi katika hatua ya makundi ikiwa imeruhusu goli 19 katika mwaka wa 1998 rekodi hii mpaka leo haijavunja ila kuna dalili ya kuvunjwa tena na YANGA wenyewe.

2.Yanga inashikilia rekodi ya timu iliyofungwa goli nyingi katika msimu mmoja wa klabu bingwa goli 25 katika mwaka 1998 ikiwa goli 6 katika hatua za mwanzo na goli 19 hatua ya makundi.

3.Yanga ni miongoni mwa timu chache zinazoshikilia rekodi ya kumaliza hatua ya makundi katika klabu bingwa bila kupata ushindi na hii ilikuwa mwaka 1998 ambapo ilitoa sare 2 na vipigo 4.

NB: REKODI HIZI ZOTE KUNA DALILI YA KUVUNJWA TENA MWAKA HUU.
Kwa hiyo umeamua kuifananisha Yanga ya mwaka 1998 na hii Yanga ya 2023!!!! Pole sana.
 
"Yanga ni miongoni mwa timu chache zinazoshikilia rekodi ya kumaliza hatua ya makundi katika klabu bingwa bila kupata ushindi na hii ilikuwa mwaka 1998 ambapo ilitoa sare 2 na vipigo 4"View attachment 2778812
Kama hiyo Yanga ingekuwa inacheza mpira wake kwa kutegemea rekodi, basi hata msimu uliopita isingefika hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Vijana wa Rage, achaneni na haya mambo yenu ya uchawi, rekodi na takwimu! Mpira unachezwa uwanjani.
 
Apa tupo kwenye rekodi sio matokeo ya group stage.
Rekodi ya simba ya kufungwa goli 10 kwa mechi mbili mfululizo Simba hana mpinzani kusini mwa Jangwa la Sahara. Ukitafuta wa stani kwa mechi moja utanielewa.
Rekodi ya Simba ya kutandikwa goli 10 kwa mechi mbili huwezi kuipata atakwenye Ligi yetu hapa nyumbani.

Ata umchukue kibonde wa ligi kuu au ligi daraja la kwanza kwetu apa haijawahi tokea.
Na simba ndiyo timu pekee mpaka sasa Barani Afrika, yenye rekodi ya kupigwa faini na CAF ya dola elfu 10, baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini.
 
Back
Top Bottom