Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Salaam wakuu.
Klabu ya Yanga msimu huu imefanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya miaka 25 kupita kwa si vibaya tukiangalia rekodi zake katika hatua hiyo.
1. Yanga ndio timu inayoshikilia rekodi ya kufungwa magoli mengi katika hatua ya makundi ikiwa imeruhusu goli 19 katika mwaka wa 1998 rekodi hii mpaka leo haijavunja ila kuna dalili ya kuvunjwa tena na YANGA wenyewe.
2.Yanga inashikilia rekodi ya timu iliyofungwa goli nyingi katika msimu mmoja wa klabu bingwa goli 25 katika mwaka 1998 ikiwa goli 6 katika hatua za mwanzo na goli 19 hatua ya makundi.
3.Yanga ni miongoni mwa timu chache zinazoshikilia rekodi ya kumaliza hatua ya makundi katika klabu bingwa bila kupata ushindi na hii ilikuwa mwaka 1998 ambapo ilitoa sare 2 na vipigo 4.
NB: REKODI HIZI ZOTE KUNA DALILI YA KUVUNJWA TENA MWAKA HUU.