Yanga ndio timu yenye rekodi mbovu zaidi katika groupstage ya CAF

Kuna hii timu yangu ya Msimbazi naamini msemo wa MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA ndicho kitakachoanza kutokea
 
Takwimu zinaonesha kuwa yanga ndio timu ya hovyo zaidi kuwahi kushiriki makundi klabu bingwa sababu aliweka rekodi tatu za hovyo.

1.magoli mengi kwenye makundi rekodi hii ina miaka 25 bado haijavunjwa.

2.kumaliza hatua ya makundi bila ushindi rekodi kuna vibonde wengine wamemuunga mkono miaka ya karibu.

3.kufungwa magoli mengi kwa msimu mmoja wa klabu bingwa goli 25 na rekodi hii pia inamiaka 25 bado haijavunjwa.
 
Simba ndio timu yenye rekodi iliyo tukuka ya kufungwa goli 10 katika michezo miwili, na kati ya iyo michezo miwili kila mchezo iliruhusu goli 5.
Kama ni rekodi ya magoli 10 katika mechi mbili, basi Yanga ndio iliiweka mwaka 1998. Tarehe 18/09/1998 Yanga ilifungwa 6-0 na Raja Casablanca ya Morocco, halafu mwezi mmoja baadaye tarehe 24/10/1998 Yanga ikafungwa 4-0 na Manning Rangers ya Afrika Kusini

 
Nyie RAJA aliwakanda goli ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…