Yanga ndio timu yenye rekodi mbovu zaidi katika groupstage ya CAF

Yanga ndio timu yenye rekodi mbovu zaidi katika groupstage ya CAF

Kuna hii timu yangu ya Msimbazi naamini msemo wa MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA ndicho kitakachoanza kutokea
 
Apa tupo kwenye rekodi sio matokeo ya group stage.
Rekodi ya simba ya kufungwa goli 10 kwa mechi mbili mfululizo Simba hana mpinzani kusini mwa Jangwa la Sahara. Ukitafuta wa stani kwa mechi moja utanielewa.
Rekodi ya Simba ya kutandikwa goli 10 kwa mechi mbili huwezi kuipata atakwenye Ligi yetu hapa nyumbani.

Ata umchukue kibonde wa ligi kuu au ligi daraja la kwanza kwetu apa haijawahi tokea.
Takwimu zinaonesha kuwa yanga ndio timu ya hovyo zaidi kuwahi kushiriki makundi klabu bingwa sababu aliweka rekodi tatu za hovyo.

1.magoli mengi kwenye makundi rekodi hii ina miaka 25 bado haijavunjwa.

2.kumaliza hatua ya makundi bila ushindi rekodi kuna vibonde wengine wamemuunga mkono miaka ya karibu.

3.kufungwa magoli mengi kwa msimu mmoja wa klabu bingwa goli 25 na rekodi hii pia inamiaka 25 bado haijavunjwa.
 
Simba ndio timu yenye rekodi iliyo tukuka ya kufungwa goli 10 katika michezo miwili, na kati ya iyo michezo miwili kila mchezo iliruhusu goli 5.
Kama ni rekodi ya magoli 10 katika mechi mbili, basi Yanga ndio iliiweka mwaka 1998. Tarehe 18/09/1998 Yanga ilifungwa 6-0 na Raja Casablanca ya Morocco, halafu mwezi mmoja baadaye tarehe 24/10/1998 Yanga ikafungwa 4-0 na Manning Rangers ya Afrika Kusini

1697044064358.png
 
Simba ndio timu yenye rekodi iliyo tukuka ya kufungwa goli 10 katika michezo miwili, na kati ya iyo michezo miwili kila mchezo iliruhusu goli 5.

Hongera kwa Ahly ambao ni moja ya timu ilio onyesha ukomavu na fair play katika kipigo walicho mtandika Simba goli 5 mpaka dk ya 40 kipindi cha kwanza zilikua tayari goli izo zimetimia.

Kama Ahly wasingekua fair upo uwezekano Simba wangekufa goli zaidi ya 10 kwani kuna makosa ya wazi ambayo ki uhalisia zilikua Penalty kwa faida ya Ahly.

Refa na wachezaji wa Ahly walizungumza wapotezee[emoji3][emoji3]
Kama una wasiwasi na kilicho andikwa ingia kwenye Highlights za mechi hii, u tube ukapate burudani ya mechi husika.
Nyie RAJA aliwakanda goli ngapi?
 
Back
Top Bottom