Yanga ndio wanawafanyia umafia Simba, Jwaneng wapo Avic Town

Lakini Simba si iliipiga TRA bao 6 - 0? Uoga unatoka wapi kwa timu inayotoa kichapo kama Simba? Mimi sio mwanaYANGA ila huwa nafurahi sana nikiona SIMBA inanyanyasika.
 
Mbumbumbu unafikiri wanalijua hili, wao ni midomo tu ndio wanaweza.
 
Chukua ziro lako huko Misri..
 
Wewe usilie lie malizaneni na bwana wenu kesho
 
Nashangaa kwanini Yanga inataka kuwakomoa Simba, wao wameshavuka na wapo Misri lakini malazi ya Jwaneng Galaxy yapo Kigamboni.

Ila tutaingia tu robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani Avici n kwa Yanga au unajizima data?
wao wenyewe Yanga wapo wapo tu pale kwa huruma ya wenye mali...
 
Kama unamuona mtoa mada ni muongo kumbuka haya matukio (1) mashabiki wa uto kuwapokea airport wapinzani wa simba (2) Uto kuwaambia wapinzani wa simba kuwa simba inapuliza sumu kwenye vyumba

Uto wanaweza kweli kuwasaidia wapinzani maana yana roho mbaya ya kiukweli kweli.
 
Mmepata kisingizio cha kesho
 
Hivi ukiwa shabiki wa Simba ni lazima uwe hauna akili?
Nimashabiki wote wa Yanga ambao hawana akili kasoro Mhe. Kikwete na Mzee Sunday Manara tu. Haijalishi ni nani na ana nafasi gani, as long as ni shabiki wa Yanga ni punguani

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…