We jamaaa una utani sana aseeeh 🙌Yanga wanaweza kutwaa hili kombe kama watakuwa serious
Wafanye uchunguzi kujua kombe limehifadhiwa wapi, wakishajua liko wapi waanze sasa maandalizi.
Wana Azizi Ki, huyu ni Mr ufunguo kwa maana ya kwamba zile sehemu zenye milango yenye kufuli nzito walipohifadhia kombe anaweza kutumika ku crack hiyo milango.
Baada ya hapo kuna yule beki wao ambaye ni mfupi, huyu atakuwa na kazi moja ya kunyata kuingia ndani punde tu baada ya Azizi Ki kufanikiwa kufungua milango.
Kwa ufupi wake alionao akinyata kimya kimya kuelekea mahala lilipo kombe hakuna mtu anaweza akamuona.
Huyu akishafanikisha kuchukua kombe atatakiwa kulipitisha kwa dirisha kwa kulirusha ambapo litadakwa moja kwa moja na Dgjui Diarra ambaye atakuwa yupo chini kisha taratibu ataanza kujongea mpaka getini.
Akiwa getini atapokelewa na Kisinda ambapo kupitia mbio zake hakuna atayeweza kuthubutu kumfukuza na hapo ndio itakuwa mwisho wa shughuli
Mshindwe nyinyi tu ila hili kombe kila nikiangalia naliona linaelekea Jangwani
Na hizo key zikigoma kufungua wanae nondo..watatumia kuvunjiaYanga wanaweza kutwaa hili kombe kama watakuwa serious
Wafanye uchunguzi kujua kombe limehifadhiwa wapi, wakishajua liko wapi waanze sasa maandalizi.
Wana Azizi Ki, huyu ni Mr ufunguo kwa maana ya kwamba zile sehemu zenye milango yenye kufuli nzito walipohifadhia kombe anaweza kutumika ku crack hiyo milango.
Baada ya hapo kuna yule beki wao ambaye ni mfupi, huyu atakuwa na kazi moja ya kunyata kuingia ndani punde tu baada ya Azizi Ki kufanikiwa kufungua milango.
Kwa ufupi wake alionao akinyata kimya kimya kuelekea mahala lilipo kombe hakuna mtu anaweza akamuona.
Huyu akishafanikisha kuchukua kombe atatakiwa kulipitisha kwa dirisha kwa kulirusha ambapo litadakwa moja kwa moja na Dgjui Diarra ambaye atakuwa yupo chini kisha taratibu ataanza kujongea mpaka getini.
Akiwa getini atapokelewa na Kisinda mzee wa mikimbio ambapo kupitia mbio zake hakuna atayeweza kuthubutu kumfukuza na hapo ndio itakuwa mwisho wa shughuli
Mshindwe nyinyi tu ila hili kombe kila nikiangalia naliona linaelekea Jangwani
Mzee wale jamaa haki yanga wakienda vibaya eti wajiamini wakashambulie tu hawana cha kupoteza watachakazwa kipigo cha Kipanga kwa kuwa Yanga hawana beki.Usiwadangaye waambie watafute sare ya aina yoyote ile. Na waarabu wanataka kuwatoboa dk za mwanzo tu kuwachanganya.Kwenye soka kila kitu kinawezekana, lakini mafanikio yoyote huja kwa kuwekewa mikakati na siyo porojo.
Akienda kama ambaye hana cha kupoteza maana tayari ameshapoteza, anaweza kupata matokeo mazuri.
🚮Yanga wanaweza kutwaa hili kombe kama watakuwa serious