kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Unajua Wale wa Tunisia kule kwao watacheza mpira wa kushambulia saana ili kutafuta matokeo
Sasa na Yanga wasicheze mpira wa kuzuia maana watakula mengi saana
Ila wakicheza mpira wa kushambulia na wale wa Tunisia watalazimika kucheza mpira ya kuzuia na kwa mashambulizi ya kushtukiza yaani wakiona yanga ana washambulia watajaa nyuma saana kuzuia ili wawe wana stukiza