YANGA NGUMI ZA NINI TENA ?

YANGA NGUMI ZA NINI TENA ?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wakimataifa juzi wamebamizwa na Kaliobangi kutoka kenya kwa bao 3-2 Wakaugeuza Uwanja wa taifa kuwa Jukwaa la Ngumi.Ndio maana Fifa inataka neno sports lisitumike badala yake kuwe na neno Football.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ya Wananchi hiyo,
Wacha ifanye inavyopenda.
Walishampiga vichwa refa na waliangaliwa tu, sembuse wachezaji wenzao.
Walisha wapiga Azam, Prison na sasa wanahamishia vipigo kwa timu za nje ya nchi.
Ili watu wajue kuwa ni marufuku kuifunga Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom