OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu haikusemwa kasajiliwa. Ilisemwa wamefikia agreement kwenye terms za mkataba.View attachment 1521358
Huyu alituambia Shishimbe amesajiliwa tayari leo hii imeonekana kumbe hawakumsajili na wameshindwana.
Mkuu nimeweka video,msikilize tena Hersi. fanya hivyo sasaMkuu haikusemwa kasajiliwa. Ilisemwa wamefikia agreement kwenye terms za mkataba.
Papy alitaka aongezewe dau liwe kubwa sana.
Katika mvutano huo, vitu vitatu vimetokea. Moja, kuna mbadala bora zaidi.
Pili, imeonekana ana tatizo la goti.
Tatu, yale mawasiliano yake na Simba yaliyompa kiburi, yamepoa kiana.
Bila shaka ataenda Simba lakini kama ilivyokuwa kwa Niyo, wakijua Yanga wame give up, hawatampa hela ambayo kaikataa Yanga. Itakuwa pungufu.
Mkuu, hizo nyingine ni siasa za mpira. Kauli iliyokuwa inasemwa sana ni kufikia makubaliano. Hersi alikuwa anajua Simba wanamnyatia. Post au insinuation za Haji.Mkuu nimeweka video,msikilize tena Hersi. fanya hivyo sasa
Nyie ndo maana Luc aliwambia mnabweka ka mbwa.Mkuu haikusemwa kasajiliwa. Ilisemwa wamefikia agreement kwenye terms za mkataba.
Papy alitaka aongezewe dau liwe kubwa sana.
Katika mvutano huo, vitu vitatu vimetokea. Moja, kuna mbadala bora zaidi.
Pili, imeonekana ana tatizo la goti.
Tatu, yale mawasiliano yake na Simba yaliyompa kiburi, yamepoa kiana.
Bila shaka ataenda Simba lakini kama ilivyokuwa kwa Niyo, wakijua Yanga wame give up, hawatampa hela ambayo kaikataa Yanga. Itakuwa pungufu.
Ndo siasa mlizonazo Utopolo za kusema deal done wakati hamjamsainisha mkataba mchezaji.Mkuu, hizo nyingine ni siasa za mpira. Kauli iliyokuwa inasemwa sana ni kufikia makubaliano. Hersi alikuwa anajua Simba wanamnyatia. Post au insinuation za Haji.
Watu wengi wa Yanga walijua bado na Papy amekuwa akisema hivyo muda mwingi
duuh mkuu hamuogopi kuonekana matapeli. kwa vipi tuwaamini kwenye sakata la Morison kama mwendo wetu ni wa siasa?Mkuu, hizo nyingine ni siasa za mpira. Kauli iliyokuwa inasemwa sana ni kufikia makubaliano. Hersi alikuwa anajua Simba wanamnyatia. Post au insinuation za Haji.
Watu wengi wa Yanga walijua bado na Papy amekuwa akisema hivyo muda mwingi
Simba ya sasa hivi hawawezi kumchukua Shishimbi ng'o, hana kiwango cha Mkude wala Fraga, na kama Simba itahitaji kiungo mkabaji basi itasajili wa kiwango cha juu zaidi.Mkuu haikusemwa kasajiliwa. Ilisemwa wamefikia agreement kwenye terms za mkataba.
Papy alitaka aongezewe dau liwe kubwa sana.
Katika mvutano huo, vitu vitatu vimetokea. Moja, kuna mbadala bora zaidi.
Pili, imeonekana ana tatizo la goti.
Tatu, yale mawasiliano yake na Simba yaliyompa kiburi, yamepoa kiana.
Bila shaka ataenda Simba lakini kama ilivyokuwa kwa Niyo, wakijua Yanga wame give up, hawatampa hela ambayo kaikataa Yanga. Itakuwa pungufu.
Yaan wanatuchanganya hatarii, hata ishu ya Morrison ukute ni kweli hana mkatabaView attachment 1521358
Huyu alituambia Shishimbe amesajiliwa tayari leo hii imeonekana kumbe hawakumsajili na wameshindwana.
kumchukua itakuwa ukosa akilo. hao viungo wanatosha sana, kama ipo haja basi wakachukue jitu hatari huku njeSimba ya sasa hivi hawawezi kumchukua Shishimbi ng'o, hana kiwango cha Mkude wala Fraga, na kama Simba itahitaji kiungo mkabaji basi itasajili wa kiwango cha juu zaidi.
mission town wengi ndo zao. haijulikani ofisi yake wala homejamaa interviews zae zote ni za kwenye gari huwa ananichekesha sana aiseeee hapa yanga wana deal na matapeli
Basi mwambieni asisaini kabisa huo mkataba. Kwanza hana ubora kivile zaidi ya kukamia mechi za simba tu, mchezaji gani anapoteza pasi vileMkuu haikusemwa kasajiliwa. Ilisemwa wamefikia agreement kwenye terms za mkataba.
Papy alitaka aongezewe dau liwe kubwa sana.
Katika mvutano huo, vitu vitatu vimetokea. Moja, kuna mbadala bora zaidi.
Pili, imeonekana ana tatizo la goti.
Tatu, yale mawasiliano yake na Simba yaliyompa kiburi, yamepoa kiana.
Bila shaka ataenda Simba lakini kama ilivyokuwa kwa Niyo, wakijua Yanga wame give up, hawatampa hela ambayo kaikataa Yanga. Itakuwa pungufu.
Shoka moja mbuyu chini ahahaha Amna bana anajua sema majeraha nayo YamemgharimuBasi mwambieni asisaini kabisa huo mkataba. Kwanza hana ubora kivile zaidi ya kukamia mechi za simba tu, mchezaji gani anapoteza pasi vile
Kama hana hakuna haja ya kelele. Aondoke zake kiulaini tu.Yaan wanatuchanganya hatarii, hata ishu ya Morrison ukute ni kweli hana mkataba