Yanga ni club ya maamuzi magumu

Yanga ni club ya maamuzi magumu

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.

Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe.

HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia.

YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
 
1731701775320.jpeg
 
Maamuzi ya hovyo ambayo hayafuati ethics we ndio unaita magumu?

Maamuzi magumu yanakuwa ni yale yanatolewa rational na sio kwa ego ku prove kuwa upo kwenye high power ya kuweza kuamua lolote dhidi ya watumishi ambao wako chini yako.
 
Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua yanga haikuachi...ukiisaliti yanga lazima ikunyooshe.

HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia ....

YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
Hiyo ni kweli sii kama wanaokesha msimbazi wakishangilia ushindi wa tabora na azam kama ndio ushindi wao.
 
Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua yanga haikuachi...ukiisaliti yanga lazima ikunyooshe.

HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia ....

YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
Na kamwe maamuzi yake sii kama ya kolo wizard
 
Yanga huwa inadharaulika sana na makocha wa kigeni sijui ni kwa nini. Kuna yule mmoja sijui Emily aliwatemea shombo la kutosha, huyu Gamondi naye alimdharau boss wake hadharani kwa kumrushia mkono. Mambo kama haya huwezi kutaona Simba.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.

Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe.

HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia.

YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
Lakini yasiyo na tija
 
Back
Top Bottom